PostGE2025 Polisi: Gwajima, Golugwa, Brenda Rupia, Lema, Mahinyila na Mnyika wajisalimishe katika vituo vya Polisi

PostGE2025 Polisi: Gwajima, Golugwa, Brenda Rupia, Lema, Mahinyila na Mnyika wajisalimishe katika vituo vya Polisi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hawa wamewakamata tayari?

Division 4 & 0 mlivyojiweka kwenye mtego kutomtaja Polepole wenye akili tumeelwa mlishammaliza tayari.

Ninatoa wito kwa hao walioombwa wafike vituoni huko wasikanyage bali waanze kuangalia namna ya kujilinda dhidi ya hawa madhalimu vilaza wanaobeba silaha.
20251104_030225.jpg
 
Wale walionaswa na picha wakionekana wameshika mitutu wanaua watu, mbona taarifa haijaeleza chochote kuhusu hao?
Hapo ndipo pa kushangaza, yani walioua raia zaidi ya 3,000 sehemu tofauti za jiji wao wako juu ya sheria wala polisi hawaangaiki nao wala kuwazungumzia ila wana tatizo na watoto wadogo ambao hata kushika bunduki hawajui ila ndo wamewapa kesi ya uhaini😂? Kuna mahali tumefeli kama Taifa.
 
Wenyewe hilo hawajali, unadhani hawakuangalia angle hiyo?

Wanachotaka wao ni kutengeneza hofu ili kuzuia maandamano mengine yanayoratibiwa kufanyika.

Yaani ifike time mtu kabla ya kushiriki maandamano awe anawaza kuwa kuna possibility ya kuuwawa kwa risasi na kama ata escape hiyo basi atakutana na kesi ya uhaini.
Halafu maandamano mengine yakitokea wakiwa wamewaweka wote ndani watamkamata nani ?
 
Haya ni matokea ya siasa kutawala utalaamu(professionalism) wanawaza na kutenda kama wanasiasa.

Hili zoezi la funika kombe, bila kujua kwenye haya yalitokea mwanaharamu hapiti.
 
Hao wote mashtaka yao ni UHAINI!
 

View: https://m.youtube.com/watch?v=MbVpI2diyso
In the discussion, Host Peter Clottey interviews Brenda Rupia Kamenda, spokesperson for Tanzania's main opposition party, Chadema. It comes as the presidential election is teetering toward chaos after protests erupted and the military has been deployed. President Samia Suluhu Hassan is widely expected to win, especially with the main opponents jailed or barred from challenging him in the polls. Chadema, the main opposition party refused to participate in the elections demanding wholistic reforms to ensure a transparent and credible process.
 
Back
Top Bottom