Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 13,987
- 27,554
HABARI NJEMA SANA
DAWA NI KULA NAO SAHANI MOJA HADI TUSIKIE PWIII!

Hahaaaa Samia ni juha.
Atufunge wote tu sasa au atuue wote.
Jambo ambalo hawezi. Atakufa kifo kibaya sana huyo mwendawazimu.
*** you 🖕 Samia.
tatizo lenu mnaichukulia serikali kama wahuni wenzenu wa kitaa, heshima imepotea sana toka maraisi wamekua wakicheka sana
Hekima hakuna...Wakuu,
Jeshi la Polisi nchini limetoa taarifa kuhusu operesheni inayoendelea ya kuwasaka watu waliopanga na kutekeleza vitendo vya uhalifu, uvunjifu wa amani na uharibifu wa mali za umma kufuatia matukio yaliyotokea tarehe 29 Oktoba 2025 katika maeneo mbalimbali ya nchi.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, baadhi ya waliopanga matukio hayo tayari wamekamatwa na kufikishwa mahakamani, huku msako mkali ukiendelea kwa wengine. Polisi imetaja majina ya watu wanaotafutwa kuwa ni:
Jeshi la Polisi limewataka wote wanaotajwa kujisalimisha mara moja katika vituo vya Polisi vilivyo karibu, na limeonya kuwa mtu au kikundi chochote kitakachopanga au kutekeleza uhalifu hakitasita kuchukuliwa hatua za kisheria.
- Josephat Gwajima
- Brenda Jonas Rupia
- John Mnyika
- Godbless Jonathan Lema
- Machumu Maximillian Kadutu
- Deogratius Cosmas Mahinyila
- Boniface Jacob
- Hilda Newton
- Award Kalonga
- Amaan Golugwa
View attachment 3498837
View attachment 3498836View attachment 3498835
Kamata wapuzi wote hao na piga jela
[/QUOTE
Mmakonde wa wapi wewe Fala?
Kuua waue wao. Kukamata wakamate wao. Alafu mtu kabisa anaona ni solution?Wakuu,
Jeshi la Polisi nchini limetoa taarifa kuhusu operesheni inayoendelea ya kuwasaka watu waliopanga na kutekeleza vitendo vya uhalifu, uvunjifu wa amani na uharibifu wa mali za umma kufuatia matukio yaliyotokea tarehe 29 Oktoba 2025 katika maeneo mbalimbali ya nchi.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, baadhi ya waliopanga matukio hayo tayari wamekamatwa na kufikishwa mahakamani, huku msako mkali ukiendelea kwa wengine. Polisi imetaja majina ya watu wanaotafutwa kuwa ni:
Jeshi la Polisi limewataka wote wanaotajwa kujisalimisha mara moja katika vituo vya Polisi vilivyo karibu, na limeonya kuwa mtu au kikundi chochote kitakachopanga au kutekeleza uhalifu hakitasita kuchukuliwa hatua za kisheria.
- Josephat Gwajima
- Brenda Jonas Rupia
- John Mnyika
- Godbless Jonathan Lema
- Machumu Maximillian Kadutu
- Deogratius Cosmas Mahinyila
- Boniface Jacob
- Hilda Newton
- Award Kalonga
- Amaan Golugwa
View attachment 3498837
View attachment 3498836View attachment 3498835
Na mbona barua haina sahihi na jina la mwandishi?Jeshi la Polisi nchini limetoa taarifa kwa Umma wa Watanzania kuwa, kufuatia matukio ya vurugu, uporaji wa mali na uvunjifu wa amani yaliyotokea tarehe 29/10/2025 katika Majiji ya Dar es salaam, Arusha, Mwanza na Mbeya, pia katika Mikoa ya Shinyanga, Geita, Songwe, Ruvuma, Mara,Dodoma, Kilimanjaro na Iringa na kusababisha madhara kwa binadanu, kuharibu mali nyingi za umma na za watu binafsi kulileta athari kubwa.
View attachment 3498833
View attachment 3498834
Itakuwa vizuri wakijisalimisha wasilione jua TENA!Wakuu,
Jeshi la Polisi nchini limetoa taarifa kuhusu operesheni inayoendelea ya kuwasaka watu waliopanga na kutekeleza vitendo vya uhalifu, uvunjifu wa amani na uharibifu wa mali za umma kufuatia matukio yaliyotokea tarehe 29 Oktoba 2025 katika maeneo mbalimbali ya nchi.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, baadhi ya waliopanga matukio hayo tayari wamekamatwa na kufikishwa mahakamani, huku msako mkali ukiendelea kwa wengine. Polisi imetaja majina ya watu wanaotafutwa kuwa ni:
Jeshi la Polisi limewataka wote wanaotajwa kujisalimisha mara moja katika vituo vya Polisi vilivyo karibu, na limeonya kuwa mtu au kikundi chochote kitakachopanga au kutekeleza uhalifu hakitasita kuchukuliwa hatua za kisheria.
- Josephat Gwajima
- Brenda Jonas Rupia
- John Mnyika
- Godbless Jonathan Lema
- Machumu Maximillian Kadutu
- Deogratius Cosmas Mahinyila
- Boniface Jacob
- Hilda Newton
- Award Kalonga
- Amaan Golugwa
View attachment 3498837
View attachment 3498836View attachment 3498835
ili iweje sasaHivi wewe ushawahi kukuona Maza akicheka...!!?
uzuri tushawapa ushauri mara nyingi sana si mnajikuta hamskii, kazi kwenuSerikali haiwezi kushinda Nguvu ya Umma ndo maana juzi jeshi limeingilia kati alafu huyu Rais kajichagua mara ngapi tumeona nguvu ya Umma inaangusha serikali?
not for thievesKwahio unapingana na ile statement ya "The government is the rule of people, for people and by the people"?
Serikali ni tofauti na raia?
Meza ya mazungumzo ndo ujenga nchi sio misuliuzuri tushawapa ushauri mara nyingi sana si mnajikuta hamskii, kazi kwenu
wewe ukatae mwenyewe kuingia kwenye uchaguzi alafu unataka tukubembelezeMeza ya mazungumzo ndo ujenga nchi sio misuli
polisi anamuogopa raia 🤣🤣🤣Serikali ipi? au genge la vibaka na wauaji...
Polisi hivi sasa pasipo bunduki na group la wenzake kadhaa anaogopa kutembea uraiani, ndipo tuliofikia, bado kidogo hata akiwa na bunduki atawaogopa raia...
Si siku nyingi...