PostGE2025 Polisi: Gwajima, Golugwa, Brenda Rupia, Lema, Mahinyila na Mnyika wajisalimishe katika vituo vya Polisi

PostGE2025 Polisi: Gwajima, Golugwa, Brenda Rupia, Lema, Mahinyila na Mnyika wajisalimishe katika vituo vya Polisi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mwanasheria mpya alimsema Ms. Kimambi mbona hayumo kwenye orodha? Pia Ms. Sarungi je? Au ndiyo gawanya utawale!!!?
 
Wenyewe hilo hawajali, unadhani hawakuangalia angle hiyo?

Wanachotaka wao ni kutengeneza hofu ili kuzuia maandamano mengine yanayoratibiwa kufanyika.

Yaani ifike time mtu kabla ya kushiriki maandamano awe anawaza kuwa kuna possibility ya kuuwawa kwa risasi na kama ata escape hiyo basi atakutana na kesi ya uhaini.
Hamna hofu wanatengeneza, zaidi wanatengeneza multiplier effect, new resistance zitainuka, and this time resistance haitotoka kwenye chama cha siasa
 
Gwajima anaonekana ni master! Sijui huwa anajificha wapi hadi wakimtafuta wanaambulia manyoya.
 
tatizo lenu mnaichukulia serikali kama wahuni wenzenu wa kitaa, heshima imepotea sana toka maraisi wamekua wakicheka sana
Serikali haiwezi kushinda Nguvu ya Umma ndo maana juzi jeshi limeingilia kati alafu huyu Rais kajichagua mara ngapi tumeona nguvu ya Umma inaangusha serikali?
 
Kiburi ya CCM ni ustaarabu wa watanzania.

Minawaambia CCM ni weupe zaidi ya sufu.

Siku watanzania watakaposema sasa imetosha na CCM inaishia hapo .

Hakuna cha kuingia msituni wala nini zaidi ya watu kupeana majukumu tu ,kila mtu na mtu wake , siku 1 tu vinapigwa vyuma vya nguvu tena only for potential people mamamamaaaeee lazima watu wapoteane .

Wakuu tulitakie amani Taifa letu , hicho kiburi tunachodhani wanacho ni upepo tu kwenye tair ya tractor.

Siku moja tutajikumbusha tulipotoka .
Gen Z waitishe maadamano ya Kushinikiza Wenzao kuachiwa waliofunguliwa kesi serikali itawatema
 
Kamata wapuzi wote hao na piga jela
Ila lile jizi la kura 31m libaki nje kulinda majizi ya nchi hii. Mtatisha sana ila jela tutaenda wengi. Tunza hii post. Jiandae kuwapelekea chakula Samia na Kikwete gerezani, wahalifu wanaoumiza wananchi waliochoka kutawaliwa na majizi.
 
Tunakoelekea sasa ndiyo kwenye utamu wenyewe ccm wameliachia jeshi la polisi lifanye siasa zake
 
Duh...
Na Gwaji boy ndani...
Hatari....
Watu wa kanisa lake walishiriki vurugu wake kwa waume na misalaba yao vifuani.
Wamechoma lake oil na walipofika Victoria oil wakaskip ila walichota mafuta hapo na kwenda kuchoma RATCO na Abood pamoja na vituo na maduka ya wapemba.
 
Watu wa kanisa lake walishiriki vurugu wake kwa waume na misalaba yao vifuani.
Wamechoma lake oil na walipofika Victoria oil wakaskip ila walichota mafuta hapo na kwenda kuchoma RATCO na Abood pamoja na vituo na maduka ya wapemba.
Unawezaje kutuhakikishia kwamba watu wa kanisa lake walifanya hilo?
 
Nashauri tu. Nchi inatafutwa ki uchumi ili isiaminike na BAHATI mbaya viongozi hawatafakari Hilo au kuna mmoja wao ambae anatumiwa kuchochea ili uchumi wetu udolole fedha isiwe na thamani Tanzania lisiwe lango tena, nahisi kwamba kuna watu wapo kwenye system sio Raia wa Tanzania hebu jiulize nani atapitisha mizigo kwenye nchi yenye machafuko kwenda Zambia, Kongo, Rwanda, Burundi Uganda? Mizigo itaanza kupita Kenya , nani atawekeza mitaji yenye tija eneo lisilo na usalama? Nani atakuja kufanya utalii katika nchi ya watekaji?
Badala ya serikali kukaa kumaliza tatizo wanachochea hivi nani atanunua bidhaa zetu hapa kwa bei shindani kukiwa hakuna Amani?
Hoja za upinzani zingesikilizwa vema Zilikuwa zinasaidia nchi kuneemeka zaidi na kuaminika duniani.
Kazi ya serikali ni kulinda uhai wa watu kwa gharama yeyote ile na kulinda Mali zake Naam mipaka ya nchi. Leo watu wamekufa badala ya kujisahihisha mnachochea mnadhani nini kinaenda kutokea?
Binafsi naona HATARI kubwa Sana. Naona rais anashauriwa na wanaomtakia anguko kubwa.
Rais tuma watu Kim ya kimya waende wapeleleze ground wananchi wanatafakari nini juu ya serikali unayoiongoza alafu chukua hatua za kustukiza itakusaidia Sana.
1. Unda jopo la wazee wanaoaminika pande zote
2. Unda jopo la majaji wanaoaminika pande zote
3. Unda wanasiasa wanaoaminika pande zote
4. Unda viongozi wa dini wanaoaminika pande zote ambao watakuambia ukweli. Lakini preliminary watoe wote gerezani na sisitiza wasishikwe. Utawala wako utatulia.
Kumbuka BINADAMU AKIPOTEZA UOGA HUWA MNYAMA HATARI SANA.
 
Back
Top Bottom