PostGE2025 Polisi: Gwajima, Golugwa, Brenda Rupia, Lema, Mahinyila na Mnyika wajisalimishe katika vituo vya Polisi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kuzaliwa ni mara 1 na kufa ni mara 1 hakuna historia ya kuzaliwa mara mbili na kufa mara mbili wale mlio waua kwa risasi hawato kuja kuishi tena na hawato kuja kufa tena, hivyo usihofu kuhusu hilo nadhani kuna ulio wazika hata kwenu na hukuwahi dhani watakuja kuishi tena na wala hudhani kama watakuja kufa tena tupo kwenye safari ya mara moja tu hapa duniani safari hiyo ikiisha imeisha hivyo itaisha kwangu,itaisha kwako na itaisha kwa yeyote nipo tayari kukipata hicho unacho dai nakitafuta
U're welcome!
mbna sasa haujiui kama unatetea kifo sana, na mbna umekaa online wakati wenzako walikua barabaran si ndo unafki wenyewe ulikua unazungumziwa uku juzi
 
Wakuu,

Jeshi la Polisi nchini limetoa taarifa kuhusu operesheni inayoendelea ya kuwasaka watu waliopanga na kutekeleza vitendo vya uhalifu, uvunjifu wa amani na uharibifu wa mali za umma kufuatia matukio yaliyotokea tarehe 29 Oktoba 2025 katika maeneo mbalimbali ya nchi.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, baadhi ya waliopanga matukio hayo tayari wamekamatwa na kufikishwa mahakamani, huku msako mkali ukiendelea kwa wengine. Polisi imetaja majina ya watu wanaotafutwa kuwa ni:
  1. Josephat Gwajima
  2. Brenda Jonas Rupia
  3. John Mnyika
  4. Godbless Jonathan Lema
  5. Machumu Maximillian Kadutu
  6. Deogratius Cosmas Mahinyila
  7. Boniface Jacob
  8. Hilda Newton
  9. Award Kalonga
  10. Amaan Golugwa
Jeshi la Polisi limewataka wote wanaotajwa kujisalimisha mara moja katika vituo vya Polisi vilivyo karibu, na limeonya kuwa mtu au kikundi chochote kitakachopanga au kutekeleza uhalifu hakitasita kuchukuliwa hatua za kisheria.

View attachment 3498837

View attachment 3498836View attachment 3498835
Tatizo msababishe nyie kisha msingizie wengine
 
ile sheria ya kinga iliopitishwa unaikumbuka. Mambo mengi ya kisiasa yanafichwa ndani ya sheria mbovu.
Sheria isiyo na haki ni udhalimu.

Hata makaburu wa Afrika Kusini waliongoza nchi kwa ubaguzi wa rangi kisheria.

Ironically, hata makaburu walivyowaua weusi Sharpeville hawakuwaua hivi.

Yani watawala wetu wanawaua rais vibaya kuliko Makaburu wa Afrika Kusini.
 
Hapa amani hamna kwaiyo wao kuwajibika na vifo hapana na awaguswi, kwaiyo hao ndio walioua?
 
Wakuu,

Jeshi la Polisi nchini limetoa taarifa kuhusu operesheni inayoendelea ya kuwasaka watu waliopanga na kutekeleza vitendo vya uhalifu, uvunjifu wa amani na uharibifu wa mali za umma kufuatia matukio yaliyotokea tarehe 29 Oktoba 2025 katika maeneo mbalimbali ya nchi.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, baadhi ya waliopanga matukio hayo tayari wamekamatwa na kufikishwa mahakamani, huku msako mkali ukiendelea kwa wengine. Polisi imetaja majina ya watu wanaotafutwa kuwa ni:
  1. Josephat Gwajima
  2. Brenda Jonas Rupia
  3. John Mnyika
  4. Godbless Jonathan Lema
  5. Machumu Maximillian Kadutu
  6. Deogratius Cosmas Mahinyila
  7. Boniface Jacob
  8. Hilda Newton
  9. Award Kalonga
  10. Amaan Golugwa
Jeshi la Polisi limewataka wote wanaotajwa kujisalimisha mara moja katika vituo vya Polisi vilivyo karibu, na limeonya kuwa mtu au kikundi chochote kitakachopanga au kutekeleza uhalifu hakitasita kuchukuliwa hatua za kisheria.

View attachment 3498837

View attachment 3498836View attachment 3498835
Wamesahau jina langu.
 
Mawakili wenyewe akina Katuga,Mrema.......hakuna kesi ni kupotezeana muda
 
Heri nusu shari kuliko shari kamili 😔

5D64RNDN7ND5ZPQOZJAOPFSPOU.jpg
 
Sheria isiyo na haki ni udhalimu.

Hata makaburu wa Afrika Kusini waliongoza nchi kwa ubaguzi wa rangi kisheria.

Ironically, hata makaburu walivyowaua weusi Sharpeville hawakuwaua hivi.

Yani watawala wetu wanawaua rais vibaya kuliko Makaburu wa Afrika Kusini.
Na haki isiyo na wajibu ni kundi la nyumbu na mafisi
 
Polepole wanaye? Maana sijaona jina lake hapa..!!
 
Wakuu,

Jeshi la Polisi nchini limetoa taarifa kuhusu operesheni inayoendelea ya kuwasaka watu waliopanga na kutekeleza vitendo vya uhalifu, uvunjifu wa amani na uharibifu wa mali za umma kufuatia matukio yaliyotokea tarehe 29 Oktoba 2025 katika maeneo mbalimbali ya nchi.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, baadhi ya waliopanga matukio hayo tayari wamekamatwa na kufikishwa mahakamani, huku msako mkali ukiendelea kwa wengine. Polisi imetaja majina ya watu wanaotafutwa kuwa ni:
  1. Josephat Gwajima
  2. Brenda Jonas Rupia
  3. John Mnyika
  4. Godbless Jonathan Lema
  5. Machumu Maximillian Kadutu
  6. Deogratius Cosmas Mahinyila
  7. Boniface Jacob
  8. Hilda Newton
  9. Award Kalonga
  10. Amaan Golugwa
Jeshi la Polisi limewataka wote wanaotajwa kujisalimisha mara moja katika vituo vya Polisi vilivyo karibu, na limeonya kuwa mtu au kikundi chochote kitakachopanga au kutekeleza uhalifu hakitasita kuchukuliwa hatua za kisheria.

View attachment 3498837

View attachment 3498836View attachment 3498835

Yaani Polisi wameuwa vijana halafu wanataka kuwapa wengine kesi watu wasio na hatioa🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️
 
Wawavundike,waive
Nyinyi ni vipofu wa vipofu, Damu za watanzania zilimwagika kwenye ardhi yao mama, zitamlilia MUNGU ardhini, MUNGU atajibu, Kila aliyehusika atawajibika, hata yule ambaye mwanafunzi kipofu wa mwalimu kipofu, hiyo damu itarudi juu vichwa vyenu na vizazi vyenu.
 
Back
Top Bottom