Yaani umeniwahi Sheikh wangu..POLICCM ni JANGAHumphrey Pole Pole tayari mnaye??!! Mbwa nyinyi.
Mbwa ninyi polisi msio na akili, mmebakia kufanya uonevu tu fala ninyiWakuu,
Jeshi la Polisi nchini limetoa taarifa kuhusu operesheni inayoendelea ya kuwasaka watu waliopanga na kutekeleza vitendo vya uhalifu, uvunjifu wa amani na uharibifu wa mali za umma kufuatia matukio yaliyotokea tarehe 29 Oktoba 2025 katika maeneo mbalimbali ya nchi.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, baadhi ya waliopanga matukio hayo tayari wamekamatwa na kufikishwa mahakamani, huku msako mkali ukiendelea kwa wengine. Polisi imetaja majina ya watu wanaotafutwa kuwa ni:
- Josephat Gwajima
- Brenda Jonas Rupia
- John Mnyika
- Godbless Jonathan Lema
- Machumu Maximillian Kadutu
- Deogratius Cosmas Mahinyila
- Boniface Jacob
- Hilda Newton
- Award Kalonga
- Amaan Golugwa
Jeshi la Polisi limewataka wote wanaotajwa kujisalimisha mara moja katika vituo vya Polisi vilivyo karibu, na limeonya kuwa mtu au kikundi chochote kitakachopanga au kutekeleza uhalifu hakitasita kuchukuliwa hatua za kisheria.
View attachment 3498837
View attachment 3498836View attachment 3498835
Hao wapuuzi akili wameweka makalioni alafu vilivyoko makalioni wameviweka kichwaniYaani umeniwahi Sheikh wangu..POLICCM ni JANGA
Ni maagizo hayo kutoka kwa kikundi Cha watu watatu hivi ambao ndio wenye nchi ..Jeshi la kipuuzi sana hili ndo maana linachukiwa.
Asante mkuu imenifanya nicheke msibani 😂
Wakuu,
Jeshi la Polisi nchini limetoa taarifa kuhusu operesheni inayoendelea ya kuwasaka watu waliopanga na kutekeleza vitendo vya uhalifu, uvunjifu wa amani na uharibifu wa mali za umma kufuatia matukio yaliyotokea tarehe 29 Oktoba 2025 katika maeneo mbalimbali ya nchi.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, baadhi ya waliopanga matukio hayo tayari wamekamatwa na kufikishwa mahakamani, huku msako mkali ukiendelea kwa wengine. Polisi imetaja majina ya watu wanaotafutwa kuwa ni:
- Bishop Dr. Josephat Gwajima
- Ms. Brenda Jonas Rupia spokesperson of CHADEMA party
- John John Mnyika CHADEMA's party secretary general
- Godbless Jonathan Lema CHADEMA party cadre
- Machumu Maximillian Kadutu
- Advocate Deogratius Cosmas Mahinyila CHADEMA's party youth Wing chairperson
- Boniface Jacob CHADEMA's Pwani / Coast zone chairperson
- Hilda Newton CHADEMA party cadre
- Award Kalonga
- Amani Golugwa CHADEMA's party Deputy Secretary General Mainland - CHADEMA