Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Mwalimu mwenyewe anyefundisha anasahihisha mtihani na karatasi la msaada pembeni unategemea nini kwa huyo polisiHii inaonesha yule jamaa anaweza kurudia mtihani wa darasa la saba akafeli
Kwani wamekosea wapi iwapo:-Ndo washindwe kuwa hata na Common sense. Mtu mzima hata haki za binadamu hazijui? Kula haki? Na wasiokula wamekosa haki yao wakashtaki wapi ili wapate haki yao?
Kabla ya kuajiriwa hakikisha ni mbu halafu mbu halafu mbu.Kivipi mzee hujaeleweka
Mi nimeshakwambia, hata walimu wanaotoa hizo quiz ukiwamwaga darasani wafanye mtihani wa la 7 wapo watakaodondokea pua, labda current na ufundishaji ndiyo watakaofanya vzuri.Sasa kama mtihani wa la saba unafeli, wanao wanaopewa quiz na walimu wao anawsaidiaga nan hapo kwako?
We jamaa polisi!Kwani wamekosea wapi iwapo:-
-kula ni hitaji la msingi kwa binadamu.
-kuishi ni haki ya binadamu na si wajibu.
-Na je,kumpatia mtu mavazi na malazi bila chakula ni kumtendea haki?
-huyo mtu akifa kwa kutokula atakuwa kapotezewa haki ya kuishi.
-kwa hiyo,ili kumtimizia haki ya kuishi ni lazima "uhakikishe"/apate haki yake ya kula.Wigwa Mwanamalundi?
NB-Pilau oyeeee!
Uamke saa nane usiku kukimbia mchakamchaka.Urudi saa kumi alfajiri kujiandaa parade.Saa kumi na mbilib asubuhi hadi saa nane uchape gwaride.Ukila saa nane mchana hadi saa kumi "kasarobo"(kwa ajili ya foleni) uende fatiki hadi saa kumi na mbili.Siku mojamoja ufundishwe PGO kimagumashi.Utatoka kozi kichwa kina materials ya kutambia kweli.Utakuwa huna kitambio zaidi ya gwanda na buti lililoisha soli.Kwa hiyo mfumo wa elimu au content ya elimu wanayopata ccp ndo shida?
Elimu ya msingi si kupima ufaham wa mtu tu. Au kuna nn cha kukuweka chini ukasoma?Mi nimeshakwambia, hata walimu wanaotoa hizo quiz ukiwamwaga darasani wafanye mtihani wa la 7 wapo watakaodondokea pua, labda current na ufundishaji ndiyo watakaofanya vzuri.
Mtihani bila kusoma usitegemee matokeo ya maana mkuu.
Elimu ya msingi uliyoipata wewe miaka 10 ama 20 iliyopita haiwezi kumechi kisilabi na elimu ya leo.
Mtihani wa drs la7 huwastahili waliofanya masomo katika silabi hiyo, nje ya silabi hauwezi faulu hata kama una elimu ya juu.
Sikatai yapo utakayoyakumbuka, lakini ufaulu wako utakuwa dhaifu ama kufeli kabisa.
Sina kichogo tena?Kwani nilwasili kwa chombo toka Pemba na pakacha la mahogo kivunde?We jamaa polisi!
Utatusumbua kwenye uzi wetu huu. Naanza kuamini wewe ndo yule polisi pale tuliokuwa tunasumbuana. Usalama gani wewe huna kichogo
Kumbe ccp nayo haina jipya?Uamke saa nane usiku kukimbia mchakamchaka.Urudi saa kumi alfajiri kujiandaa parade.Saa kumi na mbilib asubuhi hadi saa nane uchape gwaride.Ukila saa nane mchana hadi saa kumi "kasarobo"(kwa ajili ya foleni) uende fatiki hadi saa kumi na mbili.Siku mojamoja ufundishwe PGO kimagumashi.Utatoka kozi kichwa kina materials ya kutambia kweli.Utakuwa huna kitambio zaidi ya gwanda na buti lililoisha soli.
Ulifikiri wanaenda kula kachori kwa nyama ya mbuzi?Ni kazikazi tu.Kugangamala ile ngumu na kujifunza kuwafokea raia.Kumbe ccp nayo haina jipya?
Absolutely wangefanyiwa kama jw/jkt wanatoka kambi mbalimbali Tz. Then wanaajiriwaKwa hiyo mfumo wa elimu au content ya elimu wanayopata ccp ndo shida?
Si rahisi polisi kuwa na heka heka hizo huko ccp kwa sababu muundo wa mafunzo ya upolisi unategemea sana kukaa darasani.Uamke saa nane usiku kukimbia mchakamchaka.Urudi saa kumi alfajiri kujiandaa parade.Saa kumi na mbilib asubuhi hadi saa nane uchape gwaride.Ukila saa nane mchana hadi saa kumi "kasarobo"(kwa ajili ya foleni) uende fatiki hadi saa kumi na mbili.Siku mojamoja ufundishwe PGO kimagumashi.Utatoka kozi kichwa kina materials ya kutambia kweli.Utakuwa huna kitambio zaidi ya gwanda na buti lililoisha soli.
Ndo wanyimwe mafunzo ya kutumia akili. Unajua polisi kwa akili zao zilivyo unaweza kuwashambulia kwa bigijii au pipi za chocolate tuSi rahisi polisi kuwa na heka heka hizo huko ccp kwa sababu muundo wa mafunzo ya upolisi unategemea sana kukaa darasani.
Sasa polisi unamuasha usiku akimbie mchaka mchaka na mengine kama hayo yanamsaidia nini kwenye mazingira yake ya kazi?
Heka heka za kukesha na mafunzo magumu yako jeshini na ni kwa sababu kinachofundishwa jeshini ni sehemu ya kazi yenyewe ilivyo.