Polisi ijitafakari, inaajiri vilaza sana

Polisi ijitafakari, inaajiri vilaza sana

Mi nimeshakwambia, hata walimu wanaotoa hizo quiz ukiwamwaga darasani wafanye mtihani wa la 7 wapo watakaodondokea pua, labda current na ufundishaji ndiyo watakaofanya vzuri.

Mtihani bila kusoma usitegemee matokeo ya maana mkuu.

Elimu ya msingi uliyoipata wewe miaka 10 ama 20 iliyopita haiwezi kumechi kisilabi na elimu ya leo.

Mtihani wa drs la7 huwastahili waliofanya masomo katika silabi hiyo, nje ya silabi hauwezi faulu hata kama una elimu ya juu.

Sikatai yapo utakayoyakumbuka, lakini ufaulu wako utakuwa dhaifu ama kufeli kabisa.
elimu ya zaman ngumu sana kuliko elimu ya siku hz
 
Ndo washindwe kuwa hata na Common sense. Mtu mzima hata haki za binadamu hazijui? Kula haki? Na wasiokula wamekosa haki yao wakashtaki wapi ili wapate haki yao?
Wewe jamaa ni mchoyo Sana, btw ulipata bahati sana ya kuzungumza na hao watu mambo yako ya kitopolo
 
Miaka ya 80 kuagiriwa polisi ujue tu kusoma na kuandika, sijui miaka iliyofuata.
Polisi muda wote londoni kashika gobole anawaza ulanzi unadhani kaajiriwa kwq kigezo gani? Wanaangalia urefu tu, na ukiingia kikosi unapigwa chuma unajaa nyama unawekwa nje ya mlango pale huelewi kiswahili.. pumbav kabisa
 
Back
Top Bottom