Polisi ijitafakari, inaajiri vilaza sana

Huwa hamuwaelewi kwa sababu mmetanguliza uoga au chuki kabla ya kusikiliza na lugha.Na hata ukiegemea kwenye lugha,wao si waelezeaji wa jambo kwa kuremba na kunyambua kiundani kwa kila mtu.Kuhusu kutumia muda mwingi kwenye mazoezi hilo usibishe kabisa.Kazi yenyewe inahitaji waje kubishana na watu kuhusu "haki na ulaji" wa pilau kama mleta uzi. Unatarajia nini hapo?Polisi wanajengwa kutolewa tabia za kiraia wengine,uvumilivu,ukakamavu wa mwili,ujasiri,ubunifu,wepesi wa matumizi ya akili,utambuzi na ugunduzi,kuitangulia akili ya raia kimtazamo chanya,kuimiliki/kuimudu kazi na ikibidi kuishi kimaigizo bila kusahau heshima,utii na utunzaji siri wa hali ya juu.Hayo mambo hayahitaji dakika ishirini kwa siku.
 
Polisi hawatumii akili mana akili zenyewe hawana
 
Kaa kwako, kigulu na njia kwenye nyumba za ndugu unatafuta nini? Na inaonekana hukua hata na la maana lililokupeleka ndio maana ukarudia getini.
 
Huyo polisi unaweza Kuta ana degree ila amesema hizo ni haki za binadamu kwakua hapati mda wa kulala usiku anakesha kulinda na akitokea LINDO Ile asubuhi saa 12, anatakiwa kazini saa nne asubuhi ndo maana unakuta akili yake ipo hivo
 
Yapo utapatia kwa intelligence yako sikatai, lakini mengi yatakubwaga.

Kureseat elimu yoyote uliyoipitia huwa lazima usome ama ujikumbushe.
Hakuna maswali ya kumpima mtu akili? Mfano unaambiwa ukisikia kelele za mwizi usiku na ukatoka nje, ukakutana na tukio la mauaji maiti imelala chini na kisu utafanyaje? Kwa nn utafanya hivyo?

Mpaka usome?
 
jiulize kwanini waliweka Polisi? Mkoloni ndio alileta huu upuuzi. Sio Mungu wala nature, kwangu Polisi ni adui kama maadui wengine, magonjwa na njaa.
 
Ijitafakari kivipi? Umeandika kwamba serikali inaajiri vilaza inaacha wenye degree! Kwan ulisoma degree ya upolisi? Kaajiriwe kwenye hicho ulichosomeaa na degree yako. Degree zenyewe za mchongo tu yaan vilaza wengi tu na degree zao. Yaan unaenda kwenye familia za watu afu unataka wa kukarimu Kama na wewe ni mkazi wa hio familia?πŸ˜€.
 
Mm sijataka ukarimu mzee, uko lindoni nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…