Polisi inawakamata Waratibu wa LBL lakini Watu wanaendelea kupigwa hela kwenye mfumo huohuo

We mwanamke vip ? Juz ulisema you are taken, so unabwana ako atakutetea, waseme ili watu wajifunze, hawa watu tumeanza kuwaambia kuhusu ponzi kabla haijafika hata 2020 ila wagumu kuelewa ile mbaya. Wataje bwanako atakutetea.
Hatuna mwanasheria!
Naweza nikataja kumbe mmojawapo yupo humu, akaanza kunifukua mpaka anijue,, naogopa kujulikana,😂

Mimi nawacheka tyu, kuna ndugu yangu yeye ana elimu na exposure kubwa anasali hapo kanisani, nikamwambia kwanini hukuwatonya kua wanaibiwa?

Akanijibu aliwaambia ila wakawa wabishi isitoshe mtu mmoja huwezi kupambana mawazo na watu wengi so akawaacha
Basi wakati anawakataza kujiunga walikua wanamuona kama pepo vile eti anashindana na mchungaji🤣
 
Wewe nae nilipumbavi la mwisho, nyie wajinga si niliwaambia Hilo LBL ni utapeli mkanishukia na matusi. Yani nyie ni mjinga na mapumbavu acha mtapekiwe shenzi
 
Njoo ntajie inbox mimi nitawataja kivyangu, hii nchi ina matahira wengi sana
 
watu hawana elimu! Mwingine alikua anawakataza watu kujiunga eti anawaambia hao LBL ni freemasons🙌😂
Alafu wengi wanaoleta hizi ponzi Tanzania ni watu Wa Kenya hakuna cha freemason wala nini, vijana wamechoka na umaskini wanaamua kuja kujichukulia pesa kiulaini, nakumbuka moja wa staffs wa kalynda alikuwa mchina alafu anaitwa john, hivi kweli mchina anaitwa Joni au frank jamaa hawashtuki tu ? Jinga kabisaaa
 
Kenya ,nigeria ,Botswana .Kingine vijana wale wale ambao wanatangaza mafanikio yao kupitia biashara ya forex ndio wahusika wengi.

Evolution ya hizi schemes ni Bitcoin kwa sababu sio rahisi kutrack miamala yake ,ukiona kuna huduma za mobile money ,kama Airtel , tigopesa na Mpesa basi tambua kuna watanzania wanahusika moja kwa moja.

Wanaenda kusajili servers nje halafu wanakuja kubadilisha baadhi ya mambo huku Africa ,baadaye website inakuwa hewani ikiwa na kila kitu fake mpaka masaa yake unaweza kusem iko london kumbe wahuni wako hapo Naivasha ..Hapa bongo kuna jamaa anaitwa Sudi Silaa naye ni mbishi anaishi kwa hii michezo anakula pesa ndefu ,yuko radhi watanzania wapunwe ila yeye apige pesa na tumbo lake kama pakacha.
 
Wakulaumiwa ni CCM
 
Mkuu naelewa sana sababu me natandikaga code kwahiyo najua haya mambo ya programming na namna hizi platform zinavyofanya kazi..ila watu ukieaambia kwamba hiyo mifumo mtu akiingia kwenye panel alafu kwenye code achomoe hata herufi moja tu kwenye login form ya mfumo hamtaweza kuingia wanabisha mpaka wanataka kukupiga Ila wacha waumizwe ndio watajua kipi ni kipi.....
 
🤣🤣Utasikia tunapiga hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…