Polisi inawakamata Waratibu wa LBL lakini Watu wanaendelea kupigwa hela kwenye mfumo huohuo

Polisi inawakamata Waratibu wa LBL lakini Watu wanaendelea kupigwa hela kwenye mfumo huohuo

Ila me nakuiliza swali, nyie ujinga ni kipaji kwenu au sio ? Mbona huwa hamsikii
Inashangaza sana no wonder CCM wako madarakani mpaka Leo hii


Ila mm naona hii ni michezo ya serikali kuwaibia wananchi wake, haiwezekan Toka enzi za DECI wanaona kabisa watu wanacheza wao wako kimya u ila wakishaona wamekuwa wengi na pesa ya kuwalipa ni changamoto wanajidai kuzuia pesa na kuzitaifisha.
 
Yaani mchungaji aliyewaunganisha ni mchungaji apiyekuja kumtembelea mchungaji wa kanisa hilo
Kimewaramba hicho, nmekumbuka Deci, lilikuja lichungaji geni bonge lenyewe si rahisi kuwaza ni tapeli, ila mahubiri yake wakati anawatambulisha watu kwenye DECI nkashtuka hamna mchungaji pale,
Walioingia kingi kilipowakuta walibaki kutia huruma
 
Hahaha wanaonaga kama wap ndio wametumwa na MUNGU watuambie tutachomwa moto 😂😂😂😂
Kuna siku nyumbani kulikua na mfungo na maombi.
Kwetu ni walokole. Picha linaanza kuomba makelele hadi majirani wanasikia, vilio kama vyote🤣
Ilibidi niwaambie 'jamani tupunguze sauti tunawapigia kelele majirani'

Mama yangu alininunia siku nzima! Eti nacheza na Mungu ni either nina mapepo au mimi ni mchawi.
 
Kuna siku nyumbani kulikua na mfungo na maombi.
Kwetu ni walokole. Picha linaanza kuomba makelele hadi majirani wanasikia, vilio kama vyote🤣
Ilibidi niwaambie 'jamani tupunguze sauti tunawapigia kelele majirani'

Mama yangu alininunia siku nzima! Eti nacheza na Mungu ni either nina mapepo au mimi ni mchawi.
Hahahaha 😂😂😂😂😂 , kuna siku nlijifanya kama natoka home nikapita dirishani chini kwa chini kwa kunyemelea nikamsikia maza anamwambia mdogo wangu wa kike eti mimi ni kapepo fulani hivi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂, nikatoka kimya kimya nikafungua geti nikaendelea na mishe zangu.
 
Hahahaha 😂😂😂😂😂 , kuna siku nlijifanya kama natoka home nikapiga dirisha bikini kwa kunyemelea nikamsikia maza anamwambia mdogo wangu wa kike eti mimi ni kapepo fulani hivi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂, nikatoka kimya kimya nikafungua geti nikaendelea na mishe zangu.
Bikini?🤔
 
Piga mbwa
Licha ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa tangazo linaloeleza kuwa haihusiki na jambo lolote linalohusu Kampuni inayoitwa Leo Beneath London (LBL) ambayo inavyoonekana kilio chetu ni cha Watu wengi, lakini nimeamua kuandika hapa kwa kuwa najua kuna wenzetu ambao wana msongo wa mawazo wanaendelea kama mimi wanaendelea kupigwa.

Ipo hivi wale ambao tulikuwa Wanachama, kila tukiingia kwenye mfumo huo kwa nia ya kuangalia nini kinaendelea, tunakutana na jumbe mbalimbali, mojawapo ni kuwa inatutaka kulipia hadi Tsh. 270,000 ili kuweza kuingia katika Akaunti husika na kufanya mchakato wa kunasua fedha zetu zilizokwama ndani.
Nafikisha ujumbe huu kupitia JamiiForums naamini ujumbe huu utafika sehemu nyingi kwa kuwa mimi siwezi kuwafikia BoT.

Ukifungua kwenye akaunti yako ya LBL kuna ujumbe ambao unakuja ukikuelekeza kulipa kulingana na kiwango cha fedha ambacho ulilipia wakati unajiunga.

Mfano levo ya P3 kiwango cha kujiunga ni Tsh. 540,000 hivyo unatakiwa kulipia nusu ya kiasi hicho ambacho ni 270,000 ili wakuwezeshe kufungua akaunti yako na uweze kutoa fedha zako zote zilizosalia kwenye Wallet uhamishe katika mitandao ya simu.

Kinachofanyika ni kuwa hasara inaongezeka kwa Watu kuendelea kuliwa zaidi licha ya juhudi nzuri za Serikali na Jeshi la Polisi linawakamata Watu.

Pia soma:
~
Jeshi la Polisi Morogoro lawakamata maofisa saba wa LBL kwa tuhuma za biashara haramu ya fedha

~ Benki Kuu (BoT): Hatujatoa leseni wala kuruhusu shughuli za LBL
Hao
 
Back
Top Bottom