Toughlendon
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 498
- 724
CCM kweli ina matahira wengi ila hapa tunawaonea watu wenyewe hawataki kuelimika wako kama nazombe, somo la ukitaka kupata pesa fanya kazi haliwaingii hata siku moja ni ujinga gani wa hivyo ?Wakulaumiwa ni CCM
Mapumbavu kweli kweli yaniπ€£π€£Utasikia tunapiga hela
Na nakuhakikishia itakuja nyingine na watapigwa tena na tena na tenaπ€£π€£Utasikia tunapiga hela
Inashangaza sana no wonder CCM wako madarakani mpaka Leo hiiIla me nakuiliza swali, nyie ujinga ni kipaji kwenu au sio ? Mbona huwa hamsikii
Kabisa sababu kuna mfanano wa namna vitu vinavyo loop kwa sequence ile ile na style ile ile lakini hayaoni the resemblance, Yan ukibalilisha jina tu umeshawaleyea kitu kipya....Inashangaza sana no wonder CCM wako madarakani mpaka Leo hii
Hapo waumini ndo wamepigwa mchungaji ana commission yake sio mjingaNaogopa kusema!
Halafu mbaya zaidi hawajawahi kutoa pesa hata siku moja, eti walishauriana waziache ziwe nyingi wakija kutoa watoe mamilioniπ€£
Yaani mchungaji aliyewaunganisha ni mchungaji aliyekuja kumtembelea mchungaji wa kanisa hiloHapo waumini ndo wamepigwa mchungaji ana commission yake sio mjinga
We mtoto wewe acha miyeyushoo taja hao WACHUNGAJIYaani mchungaji aliyewaunganisha ni mchungaji apiyekuja kumtembelea mchungaji wa kanisa hilo
Kimewaramba hicho, nmekumbuka Deci, lilikuja lichungaji geni bonge lenyewe si rahisi kuwaza ni tapeli, ila mahubiri yake wakati anawatambulisha watu kwenye DECI nkashtuka hamna mchungaji pale,Yaani mchungaji aliyewaunganisha ni mchungaji apiyekuja kumtembelea mchungaji wa kanisa hilo
Unataka majina yao ya nini?We mtoto wewe acha miyeyushoo taja hao WACHUNGAJI
Man kazi nayo, na ni nzuri for future reference πππUnataka majina yao ya nini?
Utapata laana! Siunawajua walokoleMan kazi nayo, na ni nzuri for future reference πππ
Hahaha wanaonaga kama wap ndio wametumwa na MUNGU watuambie tutachomwa moto ππππUtapata laana! Siunawajua walokole
Kuna siku nyumbani kulikua na mfungo na maombi.Hahaha wanaonaga kama wap ndio wametumwa na MUNGU watuambie tutachomwa moto ππππ
Why haiko active mjinga mmoja wewe?Weka hiyo hela account yako iwe activated.
LBL kwa maendeleo yetu.
Hahahaha πππππ , kuna siku nlijifanya kama natoka home nikapita dirishani chini kwa chini kwa kunyemelea nikamsikia maza anamwambia mdogo wangu wa kike eti mimi ni kapepo fulani hivi πππππππππ, nikatoka kimya kimya nikafungua geti nikaendelea na mishe zangu.Kuna siku nyumbani kulikua na mfungo na maombi.
Kwetu ni walokole. Picha linaanza kuomba makelele hadi majirani wanasikia, vilio kama vyoteπ€£
Ilibidi niwaambie 'jamani tupunguze sauti tunawapigia kelele majirani'
Mama yangu alininunia siku nzima! Eti nacheza na Mungu ni either nina mapepo au mimi ni mchawi.
Bikini?π€Hahahaha πππππ , kuna siku nlijifanya kama natoka home nikapiga dirisha bikini kwa kunyemelea nikamsikia maza anamwambia mdogo wangu wa kike eti mimi ni kapepo fulani hivi πππππππππ, nikatoka kimya kimya nikafungua geti nikaendelea na mishe zangu.
HaoLicha ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa tangazo linaloeleza kuwa haihusiki na jambo lolote linalohusu Kampuni inayoitwa Leo Beneath London (LBL) ambayo inavyoonekana kilio chetu ni cha Watu wengi, lakini nimeamua kuandika hapa kwa kuwa najua kuna wenzetu ambao wana msongo wa mawazo wanaendelea kama mimi wanaendelea kupigwa.
Ipo hivi wale ambao tulikuwa Wanachama, kila tukiingia kwenye mfumo huo kwa nia ya kuangalia nini kinaendelea, tunakutana na jumbe mbalimbali, mojawapo ni kuwa inatutaka kulipia hadi Tsh. 270,000 ili kuweza kuingia katika Akaunti husika na kufanya mchakato wa kunasua fedha zetu zilizokwama ndani.
Nafikisha ujumbe huu kupitia JamiiForums naamini ujumbe huu utafika sehemu nyingi kwa kuwa mimi siwezi kuwafikia BoT.
Ukifungua kwenye akaunti yako ya LBL kuna ujumbe ambao unakuja ukikuelekeza kulipa kulingana na kiwango cha fedha ambacho ulilipia wakati unajiunga.
Mfano levo ya P3 kiwango cha kujiunga ni Tsh. 540,000 hivyo unatakiwa kulipia nusu ya kiasi hicho ambacho ni 270,000 ili wakuwezeshe kufungua akaunti yako na uweze kutoa fedha zako zote zilizosalia kwenye Wallet uhamishe katika mitandao ya simu.
Kinachofanyika ni kuwa hasara inaongezeka kwa Watu kuendelea kuliwa zaidi licha ya juhudi nzuri za Serikali na Jeshi la Polisi linawakamata Watu.
Pia soma:
~ Jeshi la Polisi Morogoro lawakamata maofisa saba wa LBL kwa tuhuma za biashara haramu ya fedha
~ Benki Kuu (BoT): Hatujatoa leseni wala kuruhusu shughuli za LBL