Polisi inawakamata Waratibu wa LBL lakini Watu wanaendelea kupigwa hela kwenye mfumo huohuo

Kuna story nikihadithia mtacheka sana!
Kuna kanisa la walokole wamepigwa kuanzia mchungaji hadi waumini.
Walitangaziwa kanisani🀣
Hata DECI ilikuwa hivyo
Ilikuwa inatangazwa na wachungaji wa makanisa ya kilokole lakini mwisho wa siku watu walipigwa
 
Mkuu watu mmoja mmoja lazime wapige hela ili washawishi na wengine zaidi. Leo ni volume iwe kubwa alafu kama kawaida wanakuja ingia mitini. Ni kama hii michezo supa au tatu mzuka wanacheza watu elfu hamsini wanashinda watu mia
 
Kuna story nikihadithia mtacheka sana!
Kuna kanisa la walokole wamepigwa kuanzia mchungaji hadi waumini.
Walitangaziwa kanisani🀣
Mchungaji si yuko karibu na Mungu? Mwambie apige maombi mfulilizo kwa siku saba pesa yake itarudi fasta.
 
Wakati wa kuwajibishwa wanatakiwa Warudishe Hela zote za watu kwa kutumia mifumo yao !
 
Hapo hakuna kitu mshapigwa na mkiweka hela tena mnapigwa vile vile
Kwa kweli watanzania inatubidi tuendekee kujifunza na serikali ina jitahidi kueleimisha tatizio watanzania tuna taka njia fupi nikimaanisha utajiri wa haraka na nsicho kinacho tugharimu baadhi ya watanzania tulio wengi
 
Yani haya mapumbavu ni majinga hata lilivyoandika tu unagundua ni LIPUMBAVU la mwisho, eti sijui level 3 sijui nini Yani haya masenge hata yakiongea nayaona ni hasara kubwa KWAHIYO YALIKUA YANAONA YAMEWIN MAISHA KIRAHISI RAHISI
Jinga sana hilo
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ umekasirika masta
 
Leseni, TIN na tax clearence vinaweza vikawa feki pia.
HAO HAO MAMENEJA WENU WALIO KAMATWA, HATA WAO HAWAJUI MWAJIRI WAO NI NANI.

Jambo la msingi hapa ni "hawa watu wana zalisha vipi fedha, mpaka kukupa wewe faida?"
 
Mkuu najua kabisa vinaweza kuwa feki sasa serikali ifanyaje kuwanusuru hawa mazwazwa wa kila siku ?...Alafu mkuu niombe msamaha, kuna namna umeniadress mimi kama mmoja wa wateja wao, MIMI SIO MMOJA WAKO NA HAITAKUJA ITOKEE HATA SIKU MOJA....
 
Samahani mkuu
 
Ukweli serikali ina mambo mengi ya msingi ya kufanya,
Huu utapeli sio wa kwanza, kwamba watu hawakuwa na uelewa.
kuna
D9,
SCATEC,
KALYNDA,
KIJIJI
QNET
JATU
VANILLA
ALLIANCE GLOBAL
FIC
NK NK

KUNA KUJIFUNZA KWA KUSIKIA, NA KUJIFUNZA KWA KUONA/MATUKIO.
UCHAGUZI NI WAKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…