Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Kwa mujibu wa Katiba, taasisi pekee yenye uwezo wa kuthitisha jinai ni mahakama hivyo it's wrong kwa taarifa ya polisi kusema imeua majambazi, ni imeua watuhumiwa wa ujambazi na sio majambazi!.
Sasa braza watu wana mibinduki na wanafyatua risasi utawakamataje uwapeleke mahakamani, katiba ni maandishi tu yakutungwa tena na watu kama wewe na mimi halafu hayana divinity yoyote ndani yake.Kwa mujibu wa Katiba, taasisi pekee yenye uwezo wa kuthitisha jinai ni mahakama hivyo it's wrong kwa taarifa ya polisi kusema imeua majambazi, ni imeua watuhumiwa wa ujambazi na sio majambazi!.
Kiukweli hizi karma za mauaji yanayofanywa na polisi wetu, if continues unchecked, zitakuja kumponza Mama!.
P
Mkuu kuhusiana Na Hilo inawezekana ikawa Ni kweli au pia isiwe kweli kwa mantiki moja jambazi anapoenda kufanya uhalifu sehem haendi bullet proof kumbuka Askari wetu kwa kuwa wanajua wanaenda sehem ambayo anajua Ni hatari lazima wanakuwa nazo pia wale majambazi wao wanakuwa hawajui kuwa wapo mtegoni kumbe wamezingirwa hivyo wakusturiwa huku wao watatokea upande kumbe huko ndo waliko Askari wetu wenye weledi kumbuka hapo syo kila Askari huwa anaenda maeneo Kama hayo wanaenda masniper Na sharpshooterKatika briefing kama hizi za kutoka Polisi, sijawahi kusikia hata siku moja kuwa Polisi mmoja au wawili walijeruhiwa au kuuwawa. Mapambano makali lakini wanaokufa ni "majambazi sugu" tu wenye silaha kali za moto. Yaani, utafikiri movie, sterling hauwawi, kila ukitaka kumpiga risasi anakuwahi yeye!
Polisi, muwe mnamuua au kujeruhi na jamaa yenu mmoja basi ili tuwaamini kuwa kweli majambazi waliuwawa baada ya mapambano makali au wakikimbizwa hospitali! [emoji1787][emoji1787] [emoji1787]
Stupid personHamna mwanacdm mwenye tabia za kihanithi.
Hawakutii bila shuruti.Kwa mujibu wa Katiba, taasisi pekee yenye uwezo wa kuthitisha jinai ni mahakama hivyo it's wrong kwa taarifa ya polisi kusema imeua majambazi, ni imeua watuhumiwa wa ujambazi na sio majambazi!.
Kiukweli hizi karma za mauaji yanayofanywa na polisi wetu, if continues unchecked, zitakuja kumponza Mama!.
P
Kati ya watuhumiwa hao 12, ni wawili tuu ndio waliokuwa na silaha za moto, polisi wetu are well trained how to shoot to contain and shoot to kill!.Hawakutii bila shuruti.
Ulitaka wote 12 wawe na bunduki ili iweje?Kati ya watuhumiwa hao 12, ni wawili tuu ndio waliokuwa na silaha za moto, polisi wetu are well trained how to shoot to contain and shoot to kill!.
Kiukweli karma itakuja kuwafidia polisi wetu for cold blooded murders with impunity!.
P
GPO ina maelekezo when a police can shoot to kill and shoot to contain, kitendo cha polisi kuua mtuhumiwa wa ujambazi asiye na silaha ya moto ni kosa la kipolisi.Ulitaka wote 12 wawe na bunduki ili iweje?
Tatizo kakurupuka na kaweka mihemko ya kisiasa mbeleSasa kwani hujui saa nane usiku wa tarehe 30/9/2022 ni usiku wa kuamkia leo?
Polisi, kuna jambazi na panyaroad mmoja hukuMtu yeyote anayepongeza mauwaji yanayofanywa na Police, ni Mwehu anayetembea na nguo!
Basi tutapongeza mauaji ya panyarodi kwa raiaMtu yeyote anayepongeza mauwaji yanayofanywa na Police, ni Mwehu anayetembea na nguo!
Katika briefing kama hizi za kutoka Polisi, sijawahi kusikia hata siku moja kuwa Polisi mmoja au wawili walijeruhiwa au kuuwawa. Mapambano makali lakini wanaokufa ni "majambazi sugu" tu wenye silaha kali za moto. Yaani, utafikiri movie, sterling hauwawi, kila ukitaka kumpiga risasi anakuwahi yeye!
Polisi, muwe mnamuua au kujeruhi na jamaa yenu mmoja basi ili tuwaamini kuwa kweli majambazi waliuwawa baada ya mapambano makali au wakikimbizwa hospitali! [emoji1787][emoji1787] [emoji1787]
Kwa hiyo kama mtuhumiwa anajibizana na polisi, polisi wasijihami?GPO ina maelekezo when a police can shoot to kill and shoot to contain, kitendo cha polisi kuua mtuhumiwa wa ujambazi asiye na silaha ya moto ni kosa la kipolisi.
P
Mbona nimeeleza vizuri tuu, PGO imeelekeza when the police can shoot to kill and when to shoot just to contain for apprehension and arrest. A responsible government lazima ipate maelezo ya kutosha kuhusu mapambano ya polisi na majambazi wenye silaha za moto, ikaua majambazi 7 lakini silaha zilizokamatwa ni 2!. Hii inaanisha kuna watuhumiwa 5 wasiokuwa na silaha za moto lakini wameuwawa!.Kwa hiyo kama mtuhumiwa anajibizana na polisi, polisi wasijihami?