Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Kwa mujibu wa Katiba, taasisi pekee yenye uwezo wa kuthitisha jinai ni mahakama hivyo it's wrong kwa taarifa ya polisi kusema imeua majambazi, ni imeua watuhumiwa wa ujambazi na sio majambazi!.
Kiukweli hizi karma za mauaji yanayofanywa na polisi wetu, if continues unchecked, zitakuja kumponza Mama!.
P