Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
- Thread starter
- #61
Inaweza kuwa kweli kuwa kuna uhuni wa polisi.Mbona nimeeleza vizuri tuu, GPO imeelekeza when the police can shoot to kill and when to shoot just to contain for apprehension and arrest. A responsible government lazima ipate maelezo ya kutosha kuhusu mapambano ya polisi na majambazi wenye silaha za moto, ikaua majambazi 7 lakini silaha zilizokamatwa ni 2!. Hii inaanisha kuna watuhumiwa 5 wasiokuwa na silaha za moto lakini wameuwawa!.
Nilichosema ni kuwa polisi wauwaji hawa, lazima watashughulikiwa ipasavyo na karma, na vitendo hivi vikiendelea and be left unchecked, watakuja kumponza boss wao!. Kwani yule naniliu ni yeye ndiye aliyefyatua zile pyu pyu za Lissu au kumpoteza Ben Saanane na Azori Gwanda?, mwisho wa siku karma imekula kichwa cha nani?. Tena karma ilivyo ya ajabu, sio tuu itawashughulikia wauwaji bali hata wanaoshangilia kumwagika kwa innocent blood kwa kisingizio chochote!, be panya road au majambazi!.
Usikute hata hizo silaha zilizoshikwa for display ni from their consficated weapons from their store just to justify their impunity!.
P
Lakini Iringa kuna raia wengi kwa nini wawe hawa waliouwawa?
Kuwa na siraha mbili zilizokamatwa haimanishi kuwa hakukuwa na majibizano baina ya polisi na watuhumiwa.