Tough lady
Senior Member
- Jul 24, 2013
- 151
- 183
Wanalipwa mshahara kiasi gani? Basic ni sh ngapi na take home sh ngapi? tuanzie hapo.Na je vyeo/ madaraja yao yanapandishwa baada ya muda gani na je wote wanapanda.Ni vema kuongea kwa dataKiukweli kwa kazi kubwa sana za hayo majeshi. Wanafanya kazi kubwa ya ulinzi na usalama wa nchi yetu, lakini maslahi yao hayaendani na kazi kubwa wanazozifanya.
Nimesema JWTZ wana mishahara mikubwa kwa kulinganisha na kada nyingine nyingi za serikali.Mishahara mikubwa sana kwako ni kiasi gani?
Pesa anayoingiza askari mwenye elimu ya kidato cha nne au cha sita polisi, magereza au uhamiaji analingana na daktari mwenye degree aliyesoma miaka mitano kwa mkopo toka bodi ya elimu ya juu.Kiukweli kwa kazi kubwa sana za hayo majeshi. Wanafanya kazi kubwa ya ulinzi na usalama wa nchi yetu, lakini maslahi yao hayaendani na kazi kubwa wanazozifanya.
Lazima maslahi ya wanawake kwenye majeshi hayo yafanane maana hapo unakutana na WP anakung’ang’ania ili uwe
Hawahitaji huruma zetu kwa ssbabu wanakubali kutumika kubaka haki za binadamu na kushirikiana na CCM kuwaumiza wananchi.Kiukweli kwa kazi kubwa sana za hayo majeshi. Wanafanya kazi kubwa ya ulinzi na usalama wa nchi yetu, lakini maslahi yao hayaendani na kazi kubwa wanazozifanya.
Wanagonga scrub hadi za maji ya betri lakini waaapiiii wamepaukaaaaaaa vijusoTumeanza na hao kuchokoza maada huko kuna madaktari MD analamba kama 800k hivi, manesi, walimu huko wanacheza na 400k hadi 600k hao nao wakuonewa huruma
Kuna watumishi wa umma hata afanye scrub vipi bado ngozi inakua imekakamaa sababu ya stress na mawazo hasa kwa hizo salary mfano maisha ya Dar anayamudu vipi ndio huchelewi kukuta watumishi wa umma nao wanajiuza kama kawaida tu
Kwa nini hawasemi nakumbuka kulikuwa na mkubwa Moja police aliwahi kutoa kilio hichi hadharani miaka michache iliyopita akaishia kuchukuliwa hatua za kinidhamuKiukweli kwa kazi kubwa sana za hayo majeshi. Wanafanya kazi kubwa ya ulinzi na usalama wa nchi yetu, lakini maslahi yao hayaendani na kazi kubwa wanazozifanya.
Lazima maslahi ya wanawake kwenye majeshi hayo yafanane maana hapo unakutana na WP anakung’ang’ania ili uwe