Daah aisee watu wengine wanakua na ugonjwa wa akili mkuu kama hawakumchapa chuma walikua na akili sana..Dah nimeona video . Mwamba yaani mvamizi ana bahati sana. Askari pia alijikaza kiume kutokuachia silaha Ile. Askari waliokuja kumsaidia mwenzao pia walichelewa kumuwasha chuma mtu yule. Sheria inaruhusu mtu aina Ile ale pipe bila kuchelewa.
Ilikuwa hatari sana koz video inaonesha watu zaidi ya 6 eneo lile ikiwemo askari hao. Hivyo angefanikiwa sa hizi tunaongea mengine.Daah aisee watu wengine wanakua na ugonjwa wa akili mkuu kama hawakumchapa chuma walikua na akili sana..
Polisi wanapenda kujichanganya sana. Sasa hiki kipeperushi chao mbona hakieleweki?Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya linapenda kutoa ufafanuzi kuhusu picha mjongeo inayosambazwa katika mitandao ya kijamii ikionesha Askari Polisi akipambana na mtu mmoja huku akiwa na silaha ya moto.
Taarifa sahihi ni kuwa, mnamo Januari 15,2026 majira ya saa nane mchana katika Benki ya CRDB tawi la Sirari - Tarime, mtu aitwaye JOHN KOHE AMOSI, Mkurya, Mkazi wa Kijini cha Sokoni – Sirari, alifika katika benki hiyo na kuingia ndani moja kwa moja hadi kwa mtoa huduma wa benki (bankteller) kama mteja huku akiwa amebeba begi dogo na kumwamuru kwa nguvu mtoa huduma ampe fedha bila kufuata taratibu za kibenki.
Hali hiyo ilisababisha wasiwasi ndani ya benki na kulazimu Askari Polisi waliokuwa lindo nje ya benki hiyo wajulishwe na wakamfuata mtu huyo na kumtaka atoke nje na alitii amri hiyo.
Wakati anasindikizwa na Askari kutoka nje ghafla alimvamia askari kwa lengo la kumpora silaha kwa kupambana na askari, hata hivyo askari walifanikiwa kumdhibiti na kumtoa nje ya benki bila kutumia silaha pamoja na kitendo alichofanya.
Aidha, uchunguzi wa awali ulibaini kuwa, mtu huyu hana akaunti kwenye benki ya CRDB. Uchunguzi wa kina bado unaendelea ili kubaini nia ya mtu huyo ilikuwa ni nini na alikuwa anasukumwa na kitu gani hadi kufanya aliyoyafanya ili hatua zingine za kisheria zifuate.
Walitakiwa wamtandike japo ya mguu au mkonoDaah aisee watu wengine wanakua na ugonjwa wa akili mkuu kama hawakumchapa chuma walikua na akili sana..
Tumia akili kidogo. Kuna watu wenye ugonjwa wa akili hivyo silaha inatakiwa itumike pale tu njia nyingine zinaposhindikana.Dah nimeona video . Mwamba yaani mvamizi ana bahati sana. Askari pia alijikaza kiume kutokuachia silaha Ile. Askari waliokuja kumsaidia mwenzao pia walichelewa kumuwasha chuma mtu yule. Sheria inaruhusu mtu aina Ile ale pipe bila kuchelewa.
Sawa boss. Ingekuwaje kama chizi angefanikiwa kuchukua chuma afu akawachachafya raia waliokuwa pale?Tumia akili kidogo. Kuna watu wenye ugonjwa wa akili hivyo silaha inatakiwa itumike pale tu njia nyingine zinaposhindikana.
Mkuu uhai wa binadamu ndiyo kitu chenye thamani kuliko vyote duniani. Yaani harakati zote unazoona kila siku mpaka huko benki alikokwenda na hiyo bunduki aliyobeba polisi ni ili binadamu aishi. Hivyo basi tunatakiwa tutumie mbinu zote kuhakikisha uhai hautolewi bila sababu maalum. Hao polisi walifanya vizuri na ndivyo inavyotakiwa. Ndicho nachosizitiza. Sisemi kuua mtu mwenye kusababisha hatari kwa wengine kama ikibidi ni vibaya.Sawa boss. Ingekuwaje kama chizi angefanikiwa kuchukua chuma afu akawachachafya raia waliokuwa pale?
Ok bossMkuu uhai wa binadamu ndiyo kitu chenye thamani kuliko vyote duniani. Yaani harakati zote unazoona kila siku mpaka huko benki alikokwenda na hiyo bunduki aliyobeba polisi ni ili binadamu aishi. Hivyo basi tunatakiwa tutumie mbinu zote kuhakikisha uhai hautolewi bila sababu maalum. Hao polisi walifanya vizuri na ndivyo inavyotakiwa. Ndicho nachosizitiza. Sisemi kuua mtu mwenye kusababisha hatari kwa wengine kama ikibidi ni vibaya.
Akili gani itumike pale huoni angefanikiwa kupoka silaha angesababisha madhara makubwa sana kwa waliokuwemo mazingira ya benki paleTumia akili kidogo. Kuna watu wenye ugonjwa wa akili hivyo silaha inatakiwa itumike pale tu njia nyingine zinaposhindikana.
Kama sio mharifu wamemkamata sawa tu ndio kazi yao hiyo nguvu ni hatua ya mwisho..Walitakiwa wamtandike japo ya mguu au mkono
Wanaweza hata kuwa watu kumi ndio kazi yao hiyo mkuu mimi nawapongeza kwa kutotumia Risasi maana hauwezi jua ingewapata wangapi hapo sema Tanzania mnaona risasi inapiga pale tu unapotaka aisee huyo ni mgonjwa afungwe kudu apelekwe milembe akapimwe utaua wangapi wananchi wako wanaochanganyikiwa..Ilikuwa hatari sana koz video inaonesha watu zaidi ya 6 eneo lile ikiwemo askari hao. Hivyo angefanikiwa sa hizi tunaongea mengine.
Akili iliyotumika. Ilitumika akili nzuri na siyo ile ya kupiga risasi kama Samia.Akili gani itumike pale huoni angefanikiwa kupoka silaha angesababisha madhara makubwa sana kwa waliokuwemo mazingira ya benki pale
Mtu huyo anaonekana anamatatizo ya Afya ya akiliJeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya linapenda kutoa ufafanuzi kuhusu picha mjongeo inayosambazwa katika mitandao ya kijamii ikionesha Askari Polisi akipambana na mtu mmoja huku akiwa na silaha ya moto.