mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Watakuja mteua tena huyoAlikuwa RC wa Simiyu tena msomi wa PhD.
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakuja mteua tena huyoAlikuwa RC wa Simiyu tena msomi wa PhD.
......hakukuwa na cha kuchakachuaRound hii report imetoka mapema sana
Taarifa ya kushambuliwa Lissu ilishatoka?Ni kawaida kwa jeshi letu kutoa taarifa kwa wakati.hususani kipindi na nyakati hizi za chaguzi ambazo upinzani hupenda sana kutoa na kuleta habari zenye kuleta taarifa. Kwa kufanya upotoshaji na uzushi
Ndiyo zao wanasubiri watu wasahau sahau.Watakuja mteua tena huyo
Ova
David Misime amekuwa Daktari wa kutoa taarifa ya chanzo cha ajali siku hizi.
Tumeshuhudia kupitia mitandao ya kijamii ikitolewa taarifa ya kutaka kuupotosha umma kuhusiana na kifo cha Joseph Remigius, Miaka 52 mkazi wa Kijiji cha Karagara, Wilaya ya Misenyi Mkoa wa Kagera ambaye alikuwa ametia nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Kijiji kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Taarifa sahihi ni kwamba Oktoba 31, 2024 Joseph Remigius majira ya saa tatu usiku akiwa anatoka kwenye Bar waliyokuwa wanakunywa pombe akiwa amebebwa na bodaboda walipata ajali na baada ya ajali hiyo walipata msaada na kufikishwa katika Kituo cha Afya Minziro na kupatiwa matibabu na kuruhusiwa.
Novemba 1,2024 majira ya saa kumi na dakika ishirini alfajiri ndipo zikapokelewa taarifa katika Kituo Kidogo cha Polisi Minziro kuwa Joseph Remigius amefariki dunia akiwa nyumbani kwake.
Hivyo hadi sasa kulingana na ushahidi wa mashuhuda wa ajali na waliompatia msaada na kumfikisha katika Kituo cha Afya Minziro, ajali ndiyo chanzo cha kifo chake. Endapo kuna mwenye ushahidi tofauti na huo wa mashuhuda wa ajali basi aufikishe Polisi ili ufanyiwe kazi.
Imetolewa na:
David A. Misime - DCP
Msemaji wa Jeshi la Polisi
Dodoma, Tanzania.
Pia soma ~ Missenyi, Kagera: Kada CHADEMA, Joseph Elemedius auawa akingojea Uteuzi kugombea Serikali za Mitaa
Bado kuna watu wanaamini taarifa za polisi kwenye kifo cha mpinzani?Ndugu zangu Watanzania,
Jeshi la polisi Nchini limekanusha vikali taarifa za upotoshaji zinazoenea mitandaoni juu ya kifo cha kada wa CHADEMA aliyefariki Dunia .ambapo taarifa hizi za upotoshaji zinahusisha kifo chake na masuala ya siasa hasa kutia nia kwake.
Na hii ndio taarifa yake👎View attachment 3140830
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili
Na ulawiti ulifanyika ndani ya gari la umma.Kesi ya yule dc aliyemtindua bint wa watu marinda mpk kumtoa mbolea imeishia wapi
Ova
andikia uzi maalumu ili hatimae upate majibu ya kina ya msingi mrangiKesi ya yule dc aliyemtindua bint wa watu marinda mpk kumtoa mbolea imeishia wapi
Ova
Wale wapumbavu wa chadema waliokuwa wananipinga kuwa damu ngingi kumwagika wapo wapi ? Yu wapi mbowe yu wapi tundulisu wa wapi chadema ...hii damu mnayo shuhudia sasa ni tone tu labda mkubali kuwa chawa ndiyo salama yenu .....hivi chadema nzima kuna mtu mwenye asilimia hata 3 ya akili zangu kweli ?
Tumeshuhudia kupitia mitandao ya kijamii ikitolewa taarifa ya kutaka kuupotosha umma kuhusiana na kifo cha Joseph Remigius, Miaka 52 mkazi wa Kijiji cha Karagara, Wilaya ya Misenyi Mkoa wa Kagera ambaye alikuwa ametia nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Kijiji kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Taarifa sahihi ni kwamba Oktoba 31, 2024 Joseph Remigius majira ya saa tatu usiku akiwa anatoka kwenye Bar waliyokuwa wanakunywa pombe akiwa amebebwa na bodaboda walipata ajali na baada ya ajali hiyo walipata msaada na kufikishwa katika Kituo cha Afya Minziro na kupatiwa matibabu na kuruhusiwa.
Novemba 1,2024 majira ya saa kumi na dakika ishirini alfajiri ndipo zikapokelewa taarifa katika Kituo Kidogo cha Polisi Minziro kuwa Joseph Remigius amefariki dunia akiwa nyumbani kwake.
Hivyo hadi sasa kulingana na ushahidi wa mashuhuda wa ajali na waliompatia msaada na kumfikisha katika Kituo cha Afya Minziro, ajali ndiyo chanzo cha kifo chake. Endapo kuna mwenye ushahidi tofauti na huo wa mashuhuda wa ajali basi aufikishe Polisi ili ufanyiwe kazi.
Imetolewa na:
David A. Misime - DCP
Msemaji wa Jeshi la Polisi
Dodoma, Tanzania.
Pia soma ~ Missenyi, Kagera: Kada CHADEMA, Joseph Elemedius auawa akingojea Uteuzi kugombea Serikali za Mitaa
Unaambiwa marehemu alilewa kilabuni, alafu akapanda bodaboda saa tatu akapata ajari. Wasamalia wema wakampeleka kituo cha afya cha karibu, kule hakupewa rufaa akaruhusiwa kwenda nyumbani siku ileile. Alafu akafia nyumbani kwa ajari.David Misime amekuwa Daktari wa kutoa taarifa ya chanzo cha ajali siku hizi.
Ndizo siasa za CCM.Acha
Acha kuwa na mabezo
Kuwa na utu
Hizo siasa na vyeo vya watu visikutoe utu
Haya amekufa umefurahi kama utamla nyama
Unaambiwa marehemu alilewa kilabuni, alafu akapanda bodaboda saa tatu akapata ajari. Wasamalia wema wakampeleka kituo cha afya cha karibu, kule hakupewa rufaa akaruhusiwa kwenda nyumbani siku ileile. Alafu akafia nyumbani kwa ajari.
Kwahiyo sasa hivi wameamua wasiseme ni watu wasiojulikana, wameamua iwe ni ajari na ulevi.
UVCCM kila kitu ni mamaSasa hapa Mama anaingiaje kwa mfano
Siku hizi mtu akiwa anaumwa akafariki huwa tunatakiwa kuripoti polisi?View attachment 3141381
Rasmi kwa sasa Polisi Tanzania ni washirika wa watenda maovu dhidi ya upinzani!
Ni ngumu kuamini kwamba hospitali wanaweza kumruhusu mgonjwa wa ajali ambaye inaonekana madhara ya ajali yatasababisha kifo chake!
Polisi hawataki hata kufanya upelelezi zaidi wajue ajali ilihusisha watu wangapi, majina yao na zali zao.
Hawataki kujua hata chombo cha moto kina usajili upi na ni cha nani!?
I stand to be corrected!
lost spermatozoa, wasted spermsNi kawaida kwa jeshi letu kutoa taarifa kwa wakati.hususani kipindi na nyakati hizi za chaguzi ambazo upinzani hupenda sana kutoa na kuleta habari zenye kuleta taarifa. Kwa kufanya upotoshaji na uzushi