Polisi Kigoma: Tumekuta vidonge kwenye chumba cha dereva wa John Heche.Uchunguzi unaendelea zaidi

..Ni kama ili taarifa ya Father Kitima kuwa alikuwa akipata kinywaji / vinywaji kabla ya kushambuliwa.
Jeshi la polisi linapofikia hatua hiyo ya utendaji wake; nchi husika haina usalama tena.

Sasa fikiria swala hilo lilikwisha tu hivyo hivyo, kama ilivyokuwa kwa lile la Mzee Ally Kibao!
 
Tatizo tayari:-
1-Aman Golugwa=Damu ilikuwa imetapakaa Chumbani!???
2-R.P.C=Vidonge mbalimbali vilikuwa vimetapakaa Chumbani!???
-Ripoti Daktari-CCM=Itakuwa ni alikuwa anatumia ARV.
-Ukweli:-Ameua na CCM tu....
Kwaheri Kamanda..One day yes.
Vidonge vya nguvu za kiume,mishipa ya damu imepasuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…