Polisi Kigoma: Tumekuta vidonge kwenye chumba cha dereva wa John Heche.Uchunguzi unaendelea zaidi

Polisi Kigoma: Tumekuta vidonge kwenye chumba cha dereva wa John Heche.Uchunguzi unaendelea zaidi

siamini kama heche na timu ulinzi wamwache mwezao auawe kipumbavu hivyo
 
hua nakutukana sana lakini leo nimependa comment yako hii. Inaonyesha uko upande wa wanaokandamizwa, upande wa haki, nilidhani utamtetea bibi kwakua ni kobazi mwenzako
"Enyi mlioamini! Kuweni wasimamizi wa haki kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, na wala chuki ya watu isiwafanye mkose kufanya uadilifu. Fanyeni uadilifu; huo ndio ulio karibu zaidi na uchamungu." (Qur'an)
 
Uchunguzi ndio utasema kweli kwasasa tumpe heshima yake marehemu👈
 
Back
Top Bottom