gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
(1)Huenda alizidisha dawa za nguvu za kiume mishipa ya damu ikapasuka puaniNa damu zilizotapakaa zilikuwa za nini?
Michezo hiyo
Tatizo la CDM ndo hilo...... kwanini bado Polisi walishirikishwa kwenye hili?
"Enyi mlioamini! Kuweni wasimamizi wa haki kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, na wala chuki ya watu isiwafanye mkose kufanya uadilifu. Fanyeni uadilifu; huo ndio ulio karibu zaidi na uchamungu." (Qur'an)hua nakutukana sana lakini leo nimependa comment yako hii. Inaonyesha uko upande wa wanaokandamizwa, upande wa haki, nilidhani utamtetea bibi kwakua ni kobazi mwenzako
Fanya uchunguzi wako ulio sahihi na uuweke hadharani. Kama huwezi, kaa kimya!Hawa msiwaamini. Uchunguzi wa Kibao majibu yako wapi? Polepole? Mdude? Rubbish!
Yatasemwa mengi