Polisi: Kufanyia kongamano la Katiba ni kuvunja Katiba na sheria za nchi

Huyo RPC sura yake inafanana na Mbususu.Huwezi kuipa Mbususu cheo cha RPC halafu utegemee la maana.Hawa ndiyo vitendea kazi vya hopeless dikteta Samia.
 
Mbwa kazi yake ni kubweka anapoona mtu yeyote asiyetambulika anasogelea mali ya bosi wake.

Kwenye hili la kuzuia katiba, polisi wanajitahidi kubweka sana. Wanaupiga mwingi. Bosi atafurahi.

Ushauri wa bure kwa wanaotaka katiba, kila kukicha yaandaliwe makongamano mpaka sauti ya mbwa ukaukie.

Wakitoka kwenye vyama wahamie makanisani na misikitini. Kila mahali yasikike maneno katiba mpya.
 
CHADEMA nendeni mahakamani acheni kulialia,tumechoka na haya ya polisi,mbona mnao mawakili wasomi shida ipo wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…