Polisi kuhusu taarifa za watu kutekwa: Ni kujiteka, wivu wa mapenzi na kugombea mali

Trump siyo wa mchezo mchezo Kenya wametuharibia sana Africa mashariki 🐼
Pale kenya, daktari wa serikali aliyefanya uchunguzi wa kifuatia kifo cha Robert Ouko alikuja na taarifa kama hii.

Kwamba, Ouko aliyekuwa waziro wa mambo ya nje alijipiga risasi akafa na baadaye akauchoma moto.mwili wake!

Vinginevyo maelwzo ya para ya nne yametolewa kwa kuwadharau wanaopwlekewa taarifa hii kwamba mi watu wasioweza kufikiri.
 
Upuuzi mtupu; haya mapolisi majinga sana, si bora kunyamaza?
 
Uchunguzi wa kifo cha Mzee Kibao umefikia wapi

Uchunguzi wa ''Tume ya Polisi'' kuhusu Mdude umefikia wapi

Uchunguzi wa nani alimpiga Lissu risasi umeishia wapi

Soka na wenzake waliitwa na Polisi, mumefuatilia namba za waliomwita na kubaini nini

Mnachagua vijitukio ili kujisafisha, kinyume chake mnachafuka zaidi. Someni hisia za Wananchi!!
Msifanye masihara na damu zao

JokaKuu
 
Hawa jamaa ni waongo hakuna mfano aisee,tunahitaji taarifa hizi
alyy kibao
sativa
roma
nondo
kitima
soka
sanane
Mdude
Chadema kisutu
Dr ulimboka
mawazo
aliyechoma picha ya raisi
kabendera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…