Toka kwa Amos makala wa ccmRipoti kama ripoti.
Toka kwa Amos makala wa ccmRipoti kama ripoti.
Kenya au utawala wemu kandamizi wa haki za raia wakeTrump siyo wa mchezo mchezo Kenya wametuharibia sana Africa mashariki 🐼
Rais kama huyu unamsaidia vipi?Dah hivi polisi walikuwa wapi muda wote kutoa taarifa. Inasikitisha sana tena sana kushindwa kumsaidia Mh. rais
Polisi kama taasisi ni lini mtapata akili ya ku deal na wananchi kwa weredi?
Kenya waliposema mtuhumiwa amejigonga kwenye ukuta Wananchi walifanya nini?Nimeshindwa kujua saa hizi ni saa ngapi,
Ni mawzo yangu tu, kwam,ba nguvu inayotumika kulinda Lissu anapopelekwa mahakamani ingetumika hata kwa wasiojulikana tabia hiyo ingekua ni historia kwa nchi yetu, lkn Du! Ni ngonjera tulizozioea masikioni mwetu.
Abdul Nondo walisema kajiteka, mahakama ikasema hakujiteka hadi aibu
Kibano cha Trump ndio kinawatowa mafichoni Policcm.
Na mabilioni wanayotumia kudidimiza demokrasia kukipakata chama cha chauma ubwabwa kuwalipia chopa magari mikutano kuwasombea watu na fuso ni pesa nyingi ambazo endapo wangekuwa waziingiza kwenye maendeleo wangependwa automatic na kupata kura pasipo kuwabambikia kesi za uongo chadema na kutumia mabilioni ya pesa za walipa kodiNimeshindwa kujua saa hizi ni saa ngapi,
Ni mawzo yangu tu, kwam,ba nguvu inayotumika kulinda Lissu anapopelekwa mahakamani ingetumika hata kwa wasiojulikana tabia hiyo ingekua ni historia kwa nchi yetu, lkn Du! Ni ngonjera tulizozioea masikioni mwetu.
Abdul Nondo walisema kajiteka, mahakama ikasema hakujiteka hadi aibu
Na Masoud Kipanya katekwa? Au kuna Kipanya mwingine?Kipanya yuko wapi?
Vunja muungano uokoe watanganyikaDuh! Kazi kwelikweli...
Tena wa hali ya juu. Wamenyofoa yale matukio ambayo hayahusishi polisi na kuyaorodhesha huku wakiacha matukio ya vyo vya dola kama ya akina Mdude. Kwani ni nani ambaye alisema kila mtu anayeuawa au kupotea dola ndiyo inahusika? Sisi tunahoji hawa wanaotekwa na kina Mafwele kama Deus Soka, Mdude, Kibao, Kaswahili, yule aliyechoma picha ya rais Mbeya.... wako wengi sana lakini hii taarifa imekwepa kuwaorodhesha.Ujinga mtupu
Mimi sina mamlaka mkuu.Vunja muungano uokoe watanganyika