Baba Bennetty
JF-Expert Member
- Jan 14, 2014
- 304
- 208
Taarifa ya kuwafurahisha wendawazimu na waliotolewa ubongo wanaowaza kwa kutumia makalio...Safi sana, taarifa yenye ukweli mchungu kwa wafuasi wa kichaa Lissu.
Taarifa ya kuwafurahisha wendawazimu na waliotolewa ubongo wanaowaza kwa kutumia makalio...Safi sana, taarifa yenye ukweli mchungu kwa wafuasi wa kichaa Lissu.
Yaan bora wangeendelea kumute.....kafri wanavyoleta hizi ngonjera ndo tunapata kujua uhalusia wao zaidUchunguzi wa kifo cha Mzee Kibao umefikia wapi
Uchunguzi wa ''Tume ya Polisi'' kuhusu Mdude umefikia wapi
Uchunguzi wa nani alimpiga Lissu risasi umeishia wapi
Soka na wenzake waliitwa na Polisi, mumefuatilia namba za waliomwita na kubaini nini
Mnachagua vijitukio ili kujisafisha, kinyume chake mnachafuka zaidi. Someni hisia za Wananchi!!
Msifanye masihara na damu zao
JokaKuu
Ibilisi mkuu au sio 😂Hiyo ni Taarifa ya ibirisi ccm kupitia Tawi lake polisiccc
Tafsiri ya "sisi" ndio inayoleta taharuki hapo. Nafikiri alimaanisha ile "CARTEL" inayotafuna nchi kwa kupiga zile B ndefu ndefu anazolalamikiaga bwana CAG na si nchi ama taifa kwa ujumla.Rais kama huyu unamsaidia vipi?View attachment 3374900
HAta mie sijahangaika kusoma, najua tu contents ni ujinga mtupu!Nani apoteze muda kusoma gazeti
Tumepikea taarifa. Tunaomba ziwe zinatoka mapema kuondoa sintofahamu.Jeshi la Polisi limetoa tamko kufuatia taarifa za watu kupotea, kutekwa au kukamatwa na wanaodaiwa kuwa askari. Polisi wamesema hufanya uchunguzi wa kina kabla ya kuthibitisha ukweli wa tukio, na haiwezi kusemwa moja kwa moja mtu amepotea bila ushahidi.
Kwa mujibu wa sheria, mtu hutambulika kuwa amepotea rasmi baada ya miezi mitano kupita na mahakama kuthibitisha. Jeshi hilo limewahakikishia wananchi kuwa linachukua kwa uzito kila taarifa, huku likitoa wito kwa ndugu wa wahusika kuwa watulivu wakati uchunguzi ukiendelea.
Aidha, Polisi limeonya kuwa kusambaza taarifa za uongo ni kosa la jinai linaloweza kupelekea faini ya hadi milioni tano au kifungo cha miaka mitano.
Ibirisi wa CCM ndio nani huyo mkuu 😂😂😂😂Polisiccm hawafanyi kazi kwa mujibu wa sheria za Nchi wanafanya kazi kwa mujibu wa Amri haramu za ibirisi wa ccm
Unawezai kuwapumbaza watu wachache kwa muda wote lakini siyo watu wote kwa muda woteJeshi la Polisi limetoa tamko kufuatia taarifa za watu kupotea, kutekwa au kukamatwa na wanaodaiwa kuwa askari. Polisi wamesema hufanya uchunguzi wa kina kabla ya kuthibitisha ukweli wa tukio, na haiwezi kusemwa moja kwa moja mtu amepotea bila ushahidi.
Kwa mujibu wa sheria, mtu hutambulika kuwa amepotea rasmi baada ya miezi mitano kupita na mahakama kuthibitisha. Jeshi hilo limewahakikishia wananchi kuwa linachukua kwa uzito kila taarifa, huku likitoa wito kwa ndugu wa wahusika kuwa watulivu wakati uchunguzi ukiendelea.
Aidha, Polisi limeonya kuwa kusambaza taarifa za uongo ni kosa la jinai linaloweza kupelekea faini ya hadi milioni tano au kifungo cha miaka mitano.
Kule UN alikuwepo Possi akiuhadaa ulimwengu, ati kuna demokrasia, hapa napo propaganda ika tawala, lakini wana jisahau kwamba kila kitu kiko waziJeshi la Polisi limetoa tamko kufuatia taarifa za watu kupotea, kutekwa au kukamatwa na wanaodaiwa kuwa askari. Polisi wamesema hufanya uchunguzi wa kina kabla ya kuthibitisha ukweli wa tukio, na haiwezi kusemwa moja kwa moja mtu amepotea bila ushahidi.
Kwa mujibu wa sheria, mtu hutambulika kuwa amepotea rasmi baada ya miezi mitano kupita na mahakama kuthibitisha. Jeshi hilo limewahakikishia wananchi kuwa linachukua kwa uzito kila taarifa, huku likitoa wito kwa ndugu wa wahusika kuwa watulivu wakati uchunguzi ukiendelea.
Aidha, Polisi limeonya kuwa kusambaza taarifa za uongo ni kosa la jinai linaloweza kupelekea faini ya hadi milioni tano au kifungo cha miaka mitano.
hawezi kukamatwa wala kutiwa hatiani. sasa hivi yupo mtaani anakula bata na huwezi jua huenda anatembele V9 sio V8Sikusoma yote, Kuna sehemu wameeleza kama yule kada wa ccm aliyemtishia Dr Kitima kishakamatwa?
Umoja wa mataifa hauwezi kukubaliana na hiyo ripoti niko pale!Ile Siku moja naikumbuka zilikamatwa nyara za serikalini zikachukuliwa kwenye ndoo na kufungiwa ofisini kwa MKUU na watu BAADHI tuki shuhudia kwa karibu.
Baadae kwa kua ilikua usiku Wote tukawa tumeenda makwetu kulala Ile kesho asubuh wote kwa pamoja ikaletwa Ile ndoo mbele ikafunguliwa LAHAULA!!?
ILE NDOO IKAKUTWA INA KOTI NA MAJI NA SABUNI YA UNGA LIME LOWEKWA 😁😅🤣 WATU WAKAULIZANA APOSTLE NINI KIMETOKEA WOTEEEE TUKASEMA NI MUUJIZAAAA
SO KUNA WAKATI HIVI VYOMBO DOLA HUAMUA KUUKWEPESHA UKWELI KWA MASLAHI MAPANA YA TAIFAA NAJUA KWENYE REPORT KUNA PROPAGANDA NA KUNA UONGO JAPO KUNA YENYE UKWELI.
naomba kuwasilisha.
Mtu Mweusi anamatatizo makubwa sana ya kutojitambua. Nchi nyingi Afrika zina dosari nyingi za kuto jielewa, kutojiamini, kutojijali.Uongozi wa kiafrika ni wa kipumbavu sana kwa hiyo hadi Marekani walalamike ndio mtoe taarifa?kwa hiyo mtu mweusi sikuzote anasubiri kukaripiwa ili afanye vzr.Ninyi polisi mnadhani hii taarifa inasaidia nn labda? Nani mnataka kumdanganya na kwa faida ya nani?hii taarifa nadhani mmemuandikia Samia na sio watanzania.
Labda Kipanya Shemasi wa Ukraine.Masudi?