Polisi kuhusu taarifa za watu kutekwa: Ni kujiteka, wivu wa mapenzi na kugombea mali

Polisi kuhusu taarifa za watu kutekwa: Ni kujiteka, wivu wa mapenzi na kugombea mali

Tafsiri ya "sisi" ndio inayoleta taharuki hapo. Nafikiri alimaanisha ile "CARTEL" inayotafuna nchi kwa kupiga zile B ndefu ndefu anazolalamikiaga bwana CAG na si nchi ama taifa kwa ujumla.
Jana niliona uzi wa trail 17 na magari ya VX Sasa hivi siiuoni. Uzi ulikuwa unastua sana. Mpaka nikakumbuka suala la magari liwe la watu binafsi mahali pa kazi!
 
Kwaio report ni TATEPA.
images (8).jpeg
 
Back
Top Bottom