Polisi kuhusu taarifa za watu kutekwa: Ni kujiteka, wivu wa mapenzi na kugombea mali

Dah hivi polisi walikuwa wapi muda wote kutoa taarifa. Inasikitisha sana tena sana kushindwa kumsaidia Mh. rais
CCM wamechanganyikiwa sana kwa zile kauli zilizotolewa na waandamaji wakati wa mkutano wa chadema Dodoma mjini watu walikatiza.makao.makuu ya chama huku wakiimba ccm wauaji,ccm watekaji.
CCM wameikoromea sana Polisi kwa nini waliruhusu Yale maandamano hivyo wakagizwa wakisafishe chama na ndio maana Polisi wametoa hilo andiko pamoja na kuondolewa kwenye cheo RPC Dodoma
 
Taarifa hii ni sahihi? Nina mashaka sana
Binafsi naipa muda wa kuhakikiwa kuwa ni sahihi kabla sijasema kuhusiana na taarifa hii kulingana na matarajio yangu na ya mtanzania wa kawaida mwenye matarajio,chawa wa kiwa kando na hili,kwani wenyewe wamesha waelekeza watu fulani kibla hivi sasa ndio wana kumbuka kufurukuta.
 
Jeshi la Polisi limetoa tamko kufuatia taarifa za watu kupotea, kutekwa au kukamatwa na wanaodaiwa kuwa askari. Polisi wamesema hufanya uchunguzi wa kina kabla ya kuthibitisha ukweli wa tukio, na haiwezi kusemwa moja kwa moja mtu amepotea bila ushahidi.

Kwa mujibu wa sheria, mtu hutambulika kuwa amepotea rasmi baada ya miezi mitano kupita na mahakama kuthibitisha. Jeshi hilo limewahakikishia wananchi kuwa linachukua kwa uzito kila taarifa, huku likitoa wito kwa ndugu wa wahusika kuwa watulivu wakati uchunguzi ukiendelea.

Aidha, Polisi limeonya kuwa kusambaza taarifa za uongo ni kosa la jinai linaloweza kupelekea faini ya hadi milioni tano au kifungo cha miaka mitano.

Lakini je,

Kwanini asiwemo hata polis mmoja ambae nae amepotea kwa wivu wa mapenzi au kutekwa?

Kwanini wawe raia wakosoaji na wanaharakati peke Yao?

Na kwanini wahusika hawakamatwi tofauti na kesi zingine?

Wangefafanua zaidi
 
Jeshi la Polisi limetoa tamko kufuatia taarifa za watu kupotea, kutekwa au kukamatwa na wanaodaiwa kuwa askari. Polisi wamesema hufanya uchunguzi wa kina kabla ya kuthibitisha ukweli wa tukio, na haiwezi kusemwa moja kwa moja mtu amepotea bila ushahidi.

Kwa mujibu wa sheria, mtu hutambulika kuwa amepotea rasmi baada ya miezi mitano kupita na mahakama kuthibitisha. Jeshi hilo limewahakikishia wananchi kuwa linachukua kwa uzito kila taarifa, huku likitoa wito kwa ndugu wa wahusika kuwa watulivu wakati uchunguzi ukiendelea.

Aidha, Polisi limeonya kuwa kusambaza taarifa za uongo ni kosa la jinai linaloweza kupelekea faini ya hadi milioni tano au kifungo cha miaka mitano.

Hawawezi kueleweka bila kutoka taarifa kwa kina, mbona katika yooote hakuna ufafanuzi wa matukio ya kupigwa risasi kwa Tundu Lissu, kwenye maeneo yanayolindwa vikali na jeshi la polisi, hakuna ufafanuzi wa mauaji ya Mzee Ally Kibao, aliyeteremshwa ndani ya basi na kukutwa akiwa ameuawa! Hakuna taarifa za dogo Chaula aliyechana picha ya Rais, hakuna ufafanuzi wa kutishiwa na hatimaye kupotea kwa Soka na wenzake, hakuna ufafanuzi wa kupotea kwa Ben Saanane, na walau hakuna ufafanuzi wa kutekwa, kuumizwa na hatimaye kupotezwa kwa Mdude Nyagali, wametolea taarifa zinazowapa nafuu Tu,lakini zenye taswira za uhusika wao hawajagusia kabisaaaa
 
Eti Shekhe Zuberi Saidi Nkokoo alisingizia kutekwa ili akimbie maden anayodiwa na watu mbalimbali ya jumla ya shilingi 521, 500,000/= !!!!

Hata kama kweli ana madeni, ndio mnataka kutuaminisha hiyo ndio sababu?

Hao watu mbalimbali mnaosema wanamdai na mmehifadhi majina yao, kuna ubaya gani kuwataja kama mdaiwa mmemtaja?

Watanzania sio wajinga.
Watakuwa wanaomdai ni maofisa wa polisi na vijana wa uvccm
 
Jeshi la Polisi limetoa tamko kufuatia taarifa za watu kupotea, kutekwa au kukamatwa na wanaodaiwa kuwa askari. Polisi wamesema hufanya uchunguzi wa kina kabla ya kuthibitisha ukweli wa tukio, na haiwezi kusemwa moja kwa moja mtu amepotea bila ushahidi.

Kwa mujibu wa sheria, mtu hutambulika kuwa amepotea rasmi baada ya miezi mitano kupita na mahakama kuthibitisha. Jeshi hilo limewahakikishia wananchi kuwa linachukua kwa uzito kila taarifa, huku likitoa wito kwa ndugu wa wahusika kuwa watulivu wakati uchunguzi ukiendelea.

Aidha, Polisi limeonya kuwa kusambaza taarifa za uongo ni kosa la jinai linaloweza kupelekea faini ya hadi milioni tano au kifungo cha miaka mitano.

Policcm huwa hawana akili. Wivu wa mapenzi umempoteza mdude, soka, ven saanane nk wivu wa mapenzi umemuua mzee Kibao f@ck the police
 
1749446688856.jpg
 
Jeshi la Polisi limetoa tamko kufuatia taarifa za watu kupotea, kutekwa au kukamatwa na wanaodaiwa kuwa askari. Polisi wamesema hufanya uchunguzi wa kina kabla ya kuthibitisha ukweli wa tukio, na haiwezi kusemwa moja kwa moja mtu amepotea bila ushahidi.

Kwa mujibu wa sheria, mtu hutambulika kuwa amepotea rasmi baada ya miezi mitano kupita na mahakama kuthibitisha. Jeshi hilo limewahakikishia wananchi kuwa linachukua kwa uzito kila taarifa, huku likitoa wito kwa ndugu wa wahusika kuwa watulivu wakati uchunguzi ukiendelea.

Aidha, Polisi limeonya kuwa kusambaza taarifa za uongo ni kosa la jinai linaloweza kupelekea faini ya hadi milioni tano au kifungo cha miaka mitano.

here's an aphorism: "absence of evidence is not evidence of absence".​

Jeshi la Polisi limetoa tamko kufuatia taarifa za watu kupotea, kutekwa au kukamatwa na wanaodaiwa kuwa askari. Polisi wamesema hufanya uchunguzi wa kina kabla ya kuthibitisha ukweli wa tukio, na haiwezi kusemwa moja kwa moja mtu amepotea bila ushahidi.

Kwa mujibu wa sheria, mtu hutambulika kuwa amepotea rasmi baada ya miezi mitano kupita na mahakama kuthibitisha. Jeshi hilo limewahakikishia wananchi kuwa linachukua kwa uzito kila taarifa, huku likitoa wito kwa ndugu wa wahusika kuwa watulivu wakati uchunguzi ukiendelea.

Aidha, Polisi limeonya kuwa kusambaza taarifa za uongo ni kosa la jinai linaloweza kupelekea faini ya hadi milioni tano au kifungo cha miaka mitano.

There's an aphorism: "Absence of evidence is not evidence of absence".
 
Back
Top Bottom