Polisi kuua mlinzi wa bar Dar: Je, Chalamila anakwepaje kuwajibika?




Your browser is not able to display this video.
 
Kwanza Sheria gani ya kuingia kwenye biashara ya mtu eti unasaka wanaojiuza,ina maana wakinikuta nimetoka na mpnz wangu na amevaa kimini wanambeba kisa kigezo ni kuvaa nguo fupi?
 
Accessory to crime.

Akili umeziazima, rudisha wakupe zako
Tuwe wakweli.Hata kama askari alikuwa anatekeleza maagizo ya wakuu wake sidhani kama aliambiwa akifika baa hiyo aanzishe ubishani na atakaowakuta(walevi) na wakizingua awatwange risasi.Huo ni ujinga wa askari mwenyewe/wenyewe.Hakubebewa akili wala kulazimishwa kwa vitisho aue.
 
Hili jiji ilivyo na matatizo mengi. Kweli unaenda kuhangaika kutafuta machangudoa bar. Yaani watu hawana kazi ya kufanya mpk unahangaika na miili ya watu. UKAHABA UPO TANGU MILELE HUKO ENZI NA PILATO. TENGENEZENI AJIRA NA MAZINGIRA mzuri ya biashara watu wataacha hayo mambo. We serikali ilikaa miaka 5 haijaajri then wanategemea watoto WA kike wapate wapi hela za pedi.
Ona Sasa bunduki na machangudoa mwisho mmemua mlinzi
 
Ripoti ya mwisho itakuwa huyo mlinzi wa bar alianzisha vurugu hadi kupelekea askari polisi kufyatua risasi hewani, lakini isivyo bahati ikamuua mlinzi huyo.

Nimemkumbuka sana binti Akwelina.
Kwa rekodi walizokuwa nazo hao jamaa wa mabatini hawachomoki

Ova
 
Mnalazimisha kesi siku zipite tu Hamna mambo ya kufanya? Mbona mnajisumbua tu..
 
Mkuu hizo ndio maksi za kupata vyeo ccm.
Huwezi kupata cheo kwa kutetea wananchi kwa mambo ya msingi.
Shida ya maji
Elimu
Miundombinu
Afya, haya hayana maksi kumpa mtu cheo.
Rejea asilimia kubwa ya viongozi wetu na jinsi walivyopanda hadi kupata nafasi za uongozi.
 
Kesha sema Polisi kuu mtu ni kawaida, bado nini.
 
Hebu tudadavulie mantiki ya kuwajibika.

Kosa huwa nanhatua kadhaa kabla ya kufikia kilele
 
Umejiunga juzi tu hapa ili utuoneshe ulichonacho kichwani? Kukaa kimya ni busara kwa mambo yaliyo nje ya upeo wako kifikra
. Usiwe na hasira mkuu, chalamila hakuwaagiza polisi wakaue,

. Kukamata na kuua ni vitu viwili tofauti kabisa 🥴🥴
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…