Polisi kuua mlinzi wa bar Dar: Je, Chalamila anakwepaje kuwajibika?

Kuagizwa ukawakamate makahaba ni jambo moja.Na kiherehere kilichoungana na ulevi wa kufyatulia watu risasi ni jambo tofauti.Askari mpumbavu asiyejua kuiheshimu silaha,utu na weledi ajitetee kivyake.Chalamila hahusiki hapo.
Unatenganishaje hapo?
Maagizo yake yameambatanisha utaratibu wa namna afisa anavyopaswa kuahughulikia?

Yeye alianza kutekeleza dhamira yake kwa kuharibu mali yaani vijumba vile vya wahaya. Ni kwamba ili ubomoaji ufanyike ni shurti notice iwepo.

Wananchi waliokuwa wanapigwa na kujeruhiwa na wanajeshi wa Lugalo hakujitokeza kurekebisha kasoro ile. Yeye anaendelea na mikakati yake ya kuhakikisha wananchi wanaliona jiji hili ni chungu.

Anapaswa kuwajibika na kuunganishwa kwenye kesi hii
 
Mtoa mada umeshindwa kuutawala udhaifu wako na umeshindwa kuziongoza hisia zako.

Mihemko na chuki vimesimama mbele!

Hivi kwa tukio hilo la huyo Askari kuuwa kweli kabisa unalihusishaje na Chalamila?

Yaani Askari mlevi na mtovu wa nidhamu aliyeshindwa kujiongoza na kufuata sheria na kanuni za kazi yake, makosa yake yabebwe na mkuu wa mkoa?!

Kama kweli Una nia ya dhati kutafuta haki hapa kwanini husianze na mkuu wa kituo anapotokea huyo Askari?

Kwanini husianze na mkuu wa kikosi alichokuwemo huyo Askari usiku huo wa zamu?

Yaani Chalamila kutimiza wajibu wake Kama kiongozi kwa kukemea kwa vitendo mambo yanayokataliwa wazi wazi na Katiba awajibike kwa Askari aliyeshindwa kuwajibika katika nafasi yake? Kivipi yani?

Hata Kama ukahaba ulikuwepo tangu enzi za mitume lakini bado haujahalalishwa, waambieni wajiuze kwa stara Kama walivyofanya waasisi na watangulizi wao.
 
Tumeshuhudia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akivalia njuga wanawake wanaojiuza almaarufu makahaba. Zoezi lilianzia kwenye kuvamia na kuvunja vibanda maarufu vijjlikanavyo kama Vibanda vya Wahaya na kuwatia mbaroni baadhi yao.

RC Chalamila anayesifika kwa tabia za ufyatu ambapo aliwahi kusikika akisema kuwa akimkuta kibaka nyumbani kwake anamuua na hata aliwahi kusema hivi karibuni kuwa akiliamsha dude hakuna wa kumfanya lolote (hata sheria), amenadi kuwa ataendelea kuwasaka wanaojiuza miili yao kila kona ya mkoa wa Dar.

Juzi tu kumetokea mauaji mjini Dar es salaam kwenye Bar moja iliyopo Sinza iitwayo Boardroom (mlinzi wa bar hiyo aliuawa kwa risasi kutoka bunduki ya askari wetu), chanzo cha mauaji hayo yaliyofanywa na Askari Mbumbumbu ni kwenda kuwasaka makahaba hapo Bar!

Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa chini ya mwenyekiti wake wanawajibika na tukio hili la kinyama. Serikali inaendaje kuwasaka wanawake wanaojiuza kwa kutumia mtutu?

Chalamila ni mteule wa Rais, na kama inavyozoeleka mama huwalinda wale anaowapenda. Tunaamini kuwa Chalamila akiendelea kuwepo ofisini inapelekea jamii kuamini kuwa mteuzi anaridhika na mwenendo na maadili ya RC Chalamila.

Tunataka uwajibikaji na sheria ichukue mkondo wake kwa sababu maagizo ya Kamati ya Ulinzi na Usalama mkoa yamepelekea mauaji ambayo yangeweza kuepukika endapo busara zingetumika. Kuanzia muuaji na wote wanaohusika na sakata hili wanapaswa kufikishwa mbele ya sheria ili haki ipatikanike.

Maadili ya viongozi wengi wa CCM imepelekea chama hiko kuwa kichaka cha wahalifu

Pia Soma Boniface Jacob: Polisi walioua Mlinzi wa Bar ya Boardroom Sinza wadaiwa kutumwa na RC Chalamila kukamata Wanaojiuza
Kuna vitu vinashangaza mno. Sasa upumbavu wa askari mmoja ndiyo utasema uwajibikaji wa Mkuu wa Mkoa. Kwani RC atakuwa anajua akili ya kila askari Mkoani kwake? Mimi sijaona tukio hili na kuhusishwa kwa Chalamila. Mwisho mtasema hata na IGP. Wewe mwenyewe kama siyo mzazi basi unawazazi na siyo kila ufanyalo basi mzazi awajibike au mwanao afanyalo wewe uwajibike. Sijaona sehemu au sikia kuwa RC ameagiza waende na bunduki kutishia au kuua hapa mtamuonea RC .
 
Unamtetea mhalifu Chalamila kwa povu lote.

Naomba utuelezee hapa, mzee Mwinyi alijiuzulu kwa sababu gani?
Mimi simtetei chalamila mkuu, tatizo ni police mlevi si vinginenvyo ✍️✍️✍️,

Chalamila aendelee na kazi, 🤝🤝
 
Kuna vitu vinashangaza mno. Sasa upumbavu wa askari mmoja ndiyo utasema uwajibikaji wa Mkuu wa Mkoa. Kwani RC atakuwa anajua akili ya kila askari Mkoani kwake? Mimi sijaona tukio hili na kuhusishwa kwa Chalamila. Mwisho mtasema hata na IGP. Wewe mwenyewe kama siyo mzazi basi unawazazi na siyo kila ufanyalo basi mzazi awajibike au mwanao afanyalo wewe uwajibike. Sijaona sehemu au sikia kuwa RC ameagiza waende na bunduki kutishia au kuua hapa mtamuonea RC .
Tatizo watu wanachuki binafsi. Duniani huku hata ufanye vizuri kiasi gani!!.. Bado utaonekana adui tuh.. 🥴🥴
 
Tumeshuhudia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akivalia njuga wanawake wanaojiuza almaarufu makahaba. Zoezi lilianzia kwenye kuvamia na kuvunja vibanda maarufu vijjlikanavyo kama Vibanda vya Wahaya na kuwatia mbaroni baadhi yao.

RC Chalamila anayesifika kwa tabia za ufyatu ambapo aliwahi kusikika akisema kuwa akimkuta kibaka nyumbani kwake anamuua na hata aliwahi kusema hivi karibuni kuwa akiliamsha dude hakuna wa kumfanya lolote (hata sheria), amenadi kuwa ataendelea kuwasaka wanaojiuza miili yao kila kona ya mkoa wa Dar.

Juzi tu kumetokea mauaji mjini Dar es salaam kwenye Bar moja iliyopo Sinza iitwayo Boardroom (mlinzi wa bar hiyo aliuawa kwa risasi kutoka bunduki ya askari wetu), chanzo cha mauaji hayo yaliyofanywa na Askari Mbumbumbu ni kwenda kuwasaka makahaba hapo Bar!

Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa chini ya mwenyekiti wake wanawajibika na tukio hili la kinyama. Serikali inaendaje kuwasaka wanawake wanaojiuza kwa kutumia mtutu?

Chalamila ni mteule wa Rais, na kama inavyozoeleka mama huwalinda wale anaowapenda. Tunaamini kuwa Chalamila akiendelea kuwepo ofisini inapelekea jamii kuamini kuwa mteuzi anaridhika na mwenendo na maadili ya RC Chalamila.

Tunataka uwajibikaji na sheria ichukue mkondo wake kwa sababu maagizo ya Kamati ya Ulinzi na Usalama mkoa yamepelekea mauaji ambayo yangeweza kuepukika endapo busara zingetumika. Kuanzia muuaji na wote wanaohusika na sakata hili wanapaswa kufikishwa mbele ya sheria ili haki ipatikanike.

Maadili ya viongozi wengi wa CCM imepelekea chama hiko kuwa kichaka cha wahalifu

Pia Soma Boniface Jacob: Polisi walioua Mlinzi wa Bar ya Boardroom Sinza wadaiwa kutumwa na RC Chalamila kukamata Wanaojiuza
Watanzania sijui wanatatizo gani na nguo fupi .... Yaani mwanamke kuvaa nguo fupi au suruali linawasumbua sana Wataznania wengi .... what's wrong with us. Watu wajue kuwa ni fashion tu na itapita. Huwezi mukuta mtu na kamin kake bar basi unaasume kuwa anajiuza .....!!
 
Tatizo ni ushamba wa viongozi.

Wanaoteuliwa wengi ni mbugila mbugila hawana exposure ya ustaarabu
 
Tumeshuhudia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akivalia njuga wanawake wanaojiuza almaarufu makahaba. Zoezi lilianzia kwenye kuvamia na kuvunja vibanda maarufu vijjlikanavyo kama Vibanda vya Wahaya na kuwatia mbaroni baadhi yao.

RC Chalamila anayesifika kwa tabia za ufyatu ambapo aliwahi kusikika akisema kuwa akimkuta kibaka nyumbani kwake anamuua na hata aliwahi kusema hivi karibuni kuwa akiliamsha dude hakuna wa kumfanya lolote (hata sheria), amenadi kuwa ataendelea kuwasaka wanaojiuza miili yao kila kona ya mkoa wa Dar.

Juzi tu kumetokea mauaji mjini Dar es salaam kwenye Bar moja iliyopo Sinza iitwayo Boardroom (mlinzi wa bar hiyo aliuawa kwa risasi kutoka bunduki ya askari wetu), chanzo cha mauaji hayo yaliyofanywa na Askari Mbumbumbu ni kwenda kuwasaka makahaba hapo Bar!

Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa chini ya mwenyekiti wake wanawajibika na tukio hili la kinyama. Serikali inaendaje kuwasaka wanawake wanaojiuza kwa kutumia mtutu?

Chalamila ni mteule wa Rais, na kama inavyozoeleka mama huwalinda wale anaowapenda. Tunaamini kuwa Chalamila akiendelea kuwepo ofisini inapelekea jamii kuamini kuwa mteuzi anaridhika na mwenendo na maadili ya RC Chalamila.

Tunataka uwajibikaji na sheria ichukue mkondo wake kwa sababu maagizo ya Kamati ya Ulinzi na Usalama mkoa yamepelekea mauaji ambayo yangeweza kuepukika endapo busara zingetumika. Kuanzia muuaji na wote wanaohusika na sakata hili wanapaswa kufikishwa mbele ya sheria ili haki ipatikanike.

Maadili ya viongozi wengi wa CCM imepelekea chama hiko kuwa kichaka cha wahalifu

Pia Soma Boniface Jacob: Polisi walioua Mlinzi wa Bar ya Boardroom Sinza wadaiwa kutumwa na RC Chalamila kukamata Wanaojiuza
HV cc waafrika tuna maadili sana kuliko wale wanaotupa misaada eh..!mbona KULE hawdili na makahaba kwa njia hii na ndo tunaoenda kuomba misaada kwao.hv cc waafrika tukijichunguza mioyoni mwetu NI wasafi sana kama malaika eh...?
Kwanza Sheria gani ya kuingia kwenye biashara ya mtu eti unasaka wanaojiuza,ina maana wakinikuta nimetoka na mpnz wangu na amevaa kimini wanambeba kisa kigezo ni kuvaa nguo fupi?
Hivi cc waafrika NI wasafi sana kuliko wanaotupa misaada eh..!mbona KULE kwao hawdili na makahaba kwa style hii?HV cc Tu wasafi sana kama malaika tukijichunguza mioyoni mwetu?
 
Huyu malaya noma aajiriwe jw, yaani kapigwa risasi kaikwepa ikapiga masai
 
Tumeshuhudia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akivalia njuga wanawake wanaojiuza almaarufu makahaba. Zoezi lilianzia kwenye kuvamia na kuvunja vibanda maarufu vijjlikanavyo kama Vibanda vya Wahaya na kuwatia mbaroni baadhi yao.

RC Chalamila anayesifika kwa tabia za ufyatu ambapo aliwahi kusikika akisema kuwa akimkuta kibaka nyumbani kwake anamuua na hata aliwahi kusema hivi karibuni kuwa akiliamsha dude hakuna wa kumfanya lolote (hata sheria), amenadi kuwa ataendelea kuwasaka wanaojiuza miili yao kila kona ya mkoa wa Dar.

Juzi tu kumetokea mauaji mjini Dar es salaam kwenye Bar moja iliyopo Sinza iitwayo Boardroom (mlinzi wa bar hiyo aliuawa kwa risasi kutoka bunduki ya askari wetu), chanzo cha mauaji hayo yaliyofanywa na Askari Mbumbumbu ni kwenda kuwasaka makahaba hapo Bar!

Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa chini ya mwenyekiti wake wanawajibika na tukio hili la kinyama. Serikali inaendaje kuwasaka wanawake wanaojiuza kwa kutumia mtutu?

Chalamila ni mteule wa Rais, na kama inavyozoeleka mama huwalinda wale anaowapenda. Tunaamini kuwa Chalamila akiendelea kuwepo ofisini inapelekea jamii kuamini kuwa mteuzi anaridhika na mwenendo na maadili ya RC Chalamila.

Tunataka uwajibikaji na sheria ichukue mkondo wake kwa sababu maagizo ya Kamati ya Ulinzi na Usalama mkoa yamepelekea mauaji ambayo yangeweza kuepukika endapo busara zingetumika. Kuanzia muuaji na wote wanaohusika na sakata hili wanapaswa kufikishwa mbele ya sheria ili haki ipatikanike.

Maadili ya viongozi wengi wa CCM imepelekea chama hiko kuwa kichaka cha wahalifu

Pia Soma Boniface Jacob: Polisi walioua Mlinzi wa Bar ya Boardroom Sinza wadaiwa kutumwa na RC Chalamila kukamata Wanaojiuza
Kwani makahaba si wao na wanunuzi wenyewe na isitoshe wanalipa kodi zote na wenye vijumba hawajalalamika nini shida kuwatimua kwa risasi.
 
Huyo ni mbwa tu hana ubinadamu
 
Kwani makahaba si wao na wanunuzi wenyewe na isitoshe wanalipa kodi zote na wenye vijumba hawajalalamika nini shida kuwatimua kwa risasi.
Husuda za viongozi.
Yaani unaweza kudhani kuwa wanawaonea wivu
 
Back
Top Bottom