GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Hoja ipi? Yaani uharo wako ndiyo hoja? Unanipangia cha kupost? Post wewe inatosha mimi mapost hizi.
Matukio ya kutisha yanatoka UCLA.
Ujumbe wa Amerika kwa ulimwengu uko wazi:
Huwezi kupinga
Huwezi kuandamana
Huwezi kuimba
Huwezi kueleza mshikamano au kuvaa alama fulani
Tukifadhili Mauaji ya Kimbari, lazima ukubali.
Hii sio demokrasia. Ni udikteta wa Israel.
View: https://x.com/kahlissee/status/1786053432807231524?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Kumbe unajua unaposti uharo malizia kabisa na huu uharo 🤣🤣🤣
View: https://twitter.com/TheMossadIL/status/1740633353962078430?t=72GgLHVb4YDd-TIMS1XuLQ&s=19