Polisi Marekani wawapiga maafisa, Profesa katika Chuo Kikuu cha Washington St. Louis, wamewavunja mbavu

Hao sio asili ya ireland ni masalia ya middle east wamekimbia fujo kwao wanakuja kufanya fujo west wakipigwa mnakuja kulia humu 🤣🤣
Hufahamu chochote wewe mlokole wakimbizi hawaruhusiwi kuandamana upo radhi kuongea uongo kuwatetea mabwana zako😀
 
Ushuhuda wa kushtua kutoka kwa mwanafunzi aliyekuwa kwenye kambi ya UCLA jana:

“Tulishangazwa na uchokozi usio na msingi kutoka kwa Wazayuni waliokuja kwenye kambi hiyo. Walianza kutushambulia kwa nguvu, wakitupa vitu na fataki.
Damu mkononi mwangu inatoka kwenye fuvu la kichwa cha rafiki yangu. Alikuwa amesimama ghafla mmoja wao akamrushia ubao mkubwa wa kuni; liligonga kichwa chake moja kwa moja—niliweza kuliona fuvu lake la kichwa. Alizimia, na mara moja tukamkimbiza ili kupata matibabu. Ilionekana kama eneo la vita, na ninashukuru kuwa hai.”

View: https://x.com/suppressednws/status/1785754827542159599?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Trump aliwekwa ndani miezi kadha nyuma?Are you day dreaming.Hiyo sio democracy ni witch hunting.Hakuna demokrasia ya kweli in the sense of democracy.Kuna selective democracy kwa wazungu na sio weusi au latinos.
Mweusi na mlatino hawana haki sawa na mzungu in general meaning ya haki.
Usidanganywe na show off.
Nimelaximika tu kuku quote ili kukupa taarifa kwamba hakuna tija kukujibu sababu kupitia reply yako hii ni dhahiri umeamua kuonyesha kwamba huna ujualo.
 
Nimelaximika tu kuku wuote ili kukupa taarifa kwamba hakuna tija kukujibu sanabu kupitia reply yako hii ni dhahiri umeamua kuonyesha kwamba huna ujualo.
Jifunze kuandika ueleweke.Rudia kusoma ulichoandika.Poor soul.
 
Sasa wewe hapa ndiyo, umejiona una ujuzi wa kuandika? Hata matumizi ya alama na spaces haujui halafu unataka kujifanya unatoa ushauri juu ya usichokijua!
 
Wanaukumbi.

Picha za kushtua zinaonyesha maafisa kadhaa wa Chuo Kikuu cha Washington St.
Profesa wa historia wa SIUE Steve Tamari anaripotiwa kulazwa hospitalini akiwa amevunjika mbavu na kuvunjika mkono. Daktari mmoja alimwambia kuwa ana bahati ya kuwa hai.

Ikiwa haya yangekuwa matukio ya Urusi, Uchina, Iran au nchi yoyote ya Kiarabu, vyombo vya habari vya Magharibi vingewaita waandamanaji mashujaa, na kulaani serikali kwa kukamatwa kwa watu wengi na ukandamizaji wa kikatili, huku wakitaka mabadiliko ya utawala.

Kwa kuwa matukio haya yanatokea katika makao makuu ya himaya hiyo, waandishi wa habari wanaotii katika nchi za NATO hawathubutu kufanya tathmini kwamba Marekani inahitaji mabadiliko ya utawala, licha ya Rais kuwapa silaha na kuwezesha mauaji ya halaiki, huku serikali za shirikisho na serikali za majimbo zikiwakandamiza kikatili wanafunzi wa Amerika. .

View: https://x.com/prem_thakker/status/1785397144515469402?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Wamewavunja mbavu tu?Makosa.
 
Machadema wanasemaje? Huko Demokrasia ipo au haipo? 😁😁😁😁😁
 
Walienda kumshtaki Rais Samia kuwa anaminya demokrasia kakataza maandanamo 😃
Nyumbu Huwa wananifurahisha sana.

Wanakwambia wanaandamana maisha magumu,nawauliza maisha magumu wapi? Mbona gunia la Mahindi ni 30,00-60,000? Mbona bati la rangi bando ni 300k-450k kutegemea brand wanaingia mitini 😂😂😂😂

Saizi umeme ni bwerere badala wafanye kazi Wamekuja na hoja ya ubaguzi 😁😁😁
 
😅😅😅😅
 
BREAKING:

🇮🇱🇺🇲 Bunge la Marekani limepitisha kitendo ambacho kinapiga marufuku kabisa kuongea na kupinga Israel.

Hata ukihubiri sehemu za biblia zinazosema wazi siku ambazo Wayahudi walimuua Kristo utakamatwa.

Katika kukabiliana na maandamano ya chuo kikuu dhidi ya Israeli, Bunge linakimbilia kupiga kura juu ya mswada mpya, HR 6090. Mswada huu mpya utafafanua rasmi "Antisemitism" ili serikali ya shirikisho inaweza kuwashtaki, kuwashtaki au kuwawekea vikwazo watu zaidi, biashara na vyuo vikuu kwa madai ya ukiukaji wa sheria za haki za kiraia.

Mswada huu utafanya kuwa kinyume cha sheria kulinganisha sera za Israeli na sera za Nazi. Ingefanya kuwa haramu kuelezea Israeli kama ubaguzi wa rangi. Ingefanya kuwa kinyume cha sheria kumshutumu raia wa Marekani kuwa mwaminifu zaidi kwa Israeli kuliko Marekani.

View: https://x.com/megatron_ron/status/1785872781667688776?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Magaidi popote walipo washughulikiwe, wawe ni wanafunzi au wakulima, wawe ni waamerika au waafrika, wawe ni mashia au masuni.
 
Wanaukumbi.

Picha za kushtua zinaonyesha maafisa kadhaa wa Chuo Kikuu cha Washington St.
Profesa wa historia wa SIUE Steve Tamari anaripotiwa kulazwa hospitalini akiwa amevunjika mbavu na kuvunjika mkono. Daktari mmoja alimwambia kuwa ana bahati ya kuwa hai.

Ikiwa haya yangekuwa matukio ya Urusi, Uchina, Iran au nchi yoyote ya Kiarabu, vyombo vya habari vya Magharibi vingewaita waandamanaji mashujaa, na kulaani serikali kwa kukamatwa kwa watu wengi na ukandamizaji wa kikatili, huku wakitaka mabadiliko ya utawala.

Kwa kuwa matukio haya yanatokea katika makao makuu ya himaya hiyo, waandishi wa habari wanaotii katika nchi za NATO hawathubutu kufanya tathmini kwamba Marekani inahitaji mabadiliko ya utawala, licha ya Rais kuwapa silaha na kuwezesha mauaji ya halaiki, huku serikali za shirikisho na serikali za majimbo zikiwakandamiza kikatili wanafunzi wa Amerika. .

View: https://x.com/prem_thakker/status/1785397144515469402?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Kama wana support ugaidi na kuleta vurugu badala ya kusoma basi wapigwe tu maana Hamna namna.
Washughulikiwe bila kupepesa macho
 
Kike 200 haramu walivyoteka wanafunzi wa uliona serikali ya Nigeria ilikwenda kupiga na kuuwa watu ovyo? Putin alizuia chakula kisiingie? Acha kutumia mavi kufikili
Magaidi Hamas lazima wadhibitiwe mapema maana wao ndio walianza uchokozi Oct 7 kwa kuuwa raia Zaidi ya 1400, kuteka pamoja na kubaka wanawake
 
Attachments

  • IMG_4312.jpeg
    IMG_4312.jpeg
    1.1 MB · Views: 1
Magaidi Hamas lazima wadhibitiwe mapema maana wao ndio walianza uchokozi Oct 7 kwa kuuwa raia Zaidi ya 1400, kuteka pamoja na kubaka wanawake
Nilikuwa nakuona mkubwa kumbe bado mtoto vita vya Gaza vimenza Oct 7?
 
Back
Top Bottom