Polisi Marekani wawapiga maafisa, Profesa katika Chuo Kikuu cha Washington St. Louis, wamewavunja mbavu

Polisi Marekani wawapiga maafisa, Profesa katika Chuo Kikuu cha Washington St. Louis, wamewavunja mbavu

Wanaukumbi.

Picha za kushtua zinaonyesha maafisa kadhaa wa Chuo Kikuu cha Washington St.
Profesa wa historia wa SIUE Steve Tamari anaripotiwa kulazwa hospitalini akiwa amevunjika mbavu na kuvunjika mkono.
Daktari mmoja alimwambia kuwa ana bahati ya kuwa hai.

Ikiwa haya yangekuwa matukio ya Urusi, Uchina, Iran au nchi yoyote ya Kiarabu, vyombo vya habari vya Magharibi vingewaita waandamanaji mashujaa, na kulaani serikali kwa kukamatwa kwa watu wengi na ukandamizaji wa kikatili, huku wakitaka mabadiliko ya utawala.

Kwa kuwa matukio haya yanatokea katika makao makuu ya himaya hiyo, waandishi wa habari wanaotii katika nchi za NATO hawathubutu kufanya tathmini kwamba Marekani inahitaji mabadiliko ya utawala, licha ya Rais kuwapa silaha na kuwezesha mauaji ya halaiki, huku serikali za shirikisho na serikali za majimbo zikiwakandamiza kikatili wanafunzi wa Amerika. .

View: https://x.com/prem_thakker/status/1785397144515469402?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

1714578099481.png
 
Sisi huku tungewatoa meno. Wana bahati sana wale wapuuzi.
 
Kwa mimi ambaye siangalii mambo kwa lens ya wao na wale au huku na kule..., nilishasema na ninasema kila siku USA kutokana na division iliyopo ina a soft underbelly ni rahisi kupata an enemy within katika nchi yenyewe tofauti na sehemu kama Russia na China hata mambo yakiwa mabaya / mabovu kiasi gani watu wote ni rahisi ku-PERSEVERE....

Ndio maana nasema kila siku Tanzania tuna mtaji mkubwa sana ambao duniani wengi hawana (nao ni Utaifa) tatizo tu ni walamba asali na wapuuzi wachache wanaotaka kuondoa hilo kwa kutugawa kwa vijitofauti vyetu (ambavyo waasisi walijaribu kuviondoa) badala ya kuunganika kwa our common goals....

Anyway binafsi am all for Justice haijalishi injustice kaifanya nani lazima nitalaani...
Ujumbe umefika.
 
Unajitoa ufahamu Marekani Baba wa Demokrasia kama anavyojiitq hataki raia wake wafanye maandamo.

View: https://x.com/kahlissee/status/1785422760992248142?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Ishu siyo kuandamana the issue is unaandamana kwa sababu gani?hujatibiwa?hujalipwa mshahara wako?hujasomeshwa shule bure au hujapewa kiinua mgongo chako ulipostaafu?

Kama unaandamana nje ya yale ya msingi yanayokuhusu utapigwa tu kuwa baba wa demokrasia hakumfanyi raia kuwa juu ya sheria.
 
Democrasia au Police Brutality? kwanza Marekani ni raha hata mimi naweza andamana kwa kufuata sheria nikatoka mzima kabisa.. not kama kwenu TZ ukiandamana kwa ruhusa unaumia tu...

Huyo prof afuate sheria aache upuuzi wa kupiga picha askari wakiwa job
Wewe ufahamu lolote zaidi ya
Ushabiki mandazi wewe mlolole wa Maji Matitu.
Marekani iko katika hali ya vita vya wenyewe kwa wenyewe kwa sababu ya kuiunga mkono Israel

Sasa wafuasi wa Israeli wanatumia vurugu kwa wanafunzi

View: https://x.com/iranobserver0/status/1785657875336921232?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Ishu siyo kuandamana the issue is unaandamana kwa sababu gani?hujatibiwa?hujalipwa mshahara wako?hujasomeshwa shule bure au hujapewa kiinua mgongo chako ulipostaafu?

Kama unaandamana nje ya yale ya msingi yanayokuhusu utapigwa tu kuwa baba wa demokrasiaz hakumfanyi raia kuwa juu ya sheria.
Hivi nyie walokole wa JF mbona wengi wenu ni mapunguani yaani ufahamu wanafunzi wa Marekani na mataifa mengine raia wao wanaandamana kwa sababu gani? Nakushauri rudi Facebook kwenye mipasho.

Hata hufahamu unachotetea angalia hii video wewe Muisrael mweusi.

View: https://x.com/suppressednws/status/1785698412035191103?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Wewe knachookuma ni kipi hapo wakati Polisi wa bongo wakipiga na kuua wapinzani unashangilia?
Halafu wewe unaleta malalamiko bila ya taarifa kamili? Hapo waandamanaji ni wengi, je unajua ni kwanini wamevutwa hao wawili pekee?
Demolrasia ya Marekani unayotaka kuijadili ndiyo hiyo iliyomuweka Trump ndani miezi kadhaa nyima bila ya kujali nafasi wala ukubwa wake na mpaka sasa anahudhuria mahalamani kujibu kesi anazotuhumiwa nazo. Ndiyo hiyo Demokrasia unayojaribu kuifubaza?
Trump aliwekwa ndani miezi kadha nyuma?Are you day dreaming.Hiyo sio democracy ni witch hunting.Hakuna demokrasia ya kweli in the sense of democracy.Kuna selective democracy kwa wazungu na sio weusi au latinos.
Mweusi na mlatino hawana haki sawa na mzungu in general meaning ya haki.
Usidanganywe na show off.
 
BREAKING| Rais wa Colombia, Gustavo Petro, anatangaza kuwa kuanzia kesho, Mei 2, Colombia itavunja uhusiano na Israel.

View: https://x.com/qudsnen/status/1785727730241217020?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Israel ni toto tundu lakini zuri kwa mamaye,Gustavo anazungumzia taifa moja kumkataa huyo dogo ni kiburi hasikilizagi mtu kwanza ni lini ameenda kumsaidia hata ikitokea yupo hatarini?ni sawa tu na nchi moja ya Kiafrika imeshindwa kujiongoza chini ya weusi wazawa eti nayo inamlaani Mzayuni.

Ni mara ngapi Mzayuni amekuwa akienda tofauti na umoja wa mataifa?(UN),baba zake wanakaa vikao wanamkanya lakini wakati wao wakipoteza muda yeye anaendelea kuwakanda anaoamini hawampendi.
 
Wanaimba death to america and allah is greatest ulitaka waachwe tu?
Acha waonyeshwe bikra 72 zinapatikanaje
 
Wapigwe tu kama hayo maandamano sio national interest
 
Hivi nyie walokole wa JF mbona wengi wenu ni mapunguani yaani ufahamu wanafunzi wa Marekani na mataifa mengine raia wao wanaandamana kwa sababu gani? Nakushauri rudi Facebook kwenye mipasho.

Hata hufahamu unachotetea angalia hii video wewe Muisrael mweusi.

View: https://x.com/suppressednws/status/1785698412035191103?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Bado hujasema mjomba,nimekuuliza hao wanaondamana wamekosa nini ktk mahitaji yao ya msingi kama raia?

Kama issue ni Mashariki ya Kati waende wakaandamane huko wagawane hawa waende Israel hawa waende Palestine hapo ndiyo maandamano yao yataleta tija siyo unaandamana ndani ya nchi iliyotulia unataka uachwe tu.
 
Wewe ana akili za kimasikini kweli yaani maandamano mpaka watu wakose vitu vyq mahitaji yao ndiyo yanakuwa maandamano? Nikikuuita punguani takuwa sijakosea raia wa Marekani na wanafunzi wanaandamana kupinga serikali ya kuwapa Uisrael silaha pamoja na fedha silaha wanazopewa wanaenda kuuwa raia wasiyokuwa na hatia Israel anafanya mauaji ya kimbari akishirikiana na Marekani wameisha wauwa watoto zaidi 15.000 huo ndiyo msingi wa maandamano.

Kumbuka Marekani uwa anazitsha nchi zinazozuia maandamano kwa raia wao mpqka anatushia kunyima misaada anasema raia kuandamana ni uhuru wa kujieleza huwezi kumzuia mtu.

Wewe ni shabiki mandazi hufahamu chochote.

Mmoja wa wanafunzi katika Chuo Kikuu cha California Los Angeles, Aidan Doyle, anashiriki majeraha yake baada ya kushambuliwa kwa nguvu na kundi la Kiyahudi lenye silaha.

View: https://x.com/megatron_ron/status/1785753955290542365?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Back
Top Bottom