Polisi Marekani wawapiga maafisa, Profesa katika Chuo Kikuu cha Washington St. Louis, wamewavunja mbavu

Hiyo democrasia ambayo haina utaratibu iishie huko huko American na Ulaya ambako wananchi ndio wanaongoza viongozi badala ya viongozi kuongoza wananchi, siku October 7 wayahudi wasiokuwa na hatia wanapigwa risasi hao hao waliandamana kuwapongeza hamas kwa kufanya shambulio lile, hiyo ni double standard, maandamano ilitakiwa yafanyike ya kushinikiza jamaa Aachie mateka na Israel asitishe vita, pia maandamano ya uvamizi wa Urus dhidi ya Ukraine mbona hatuyaoni, boko haramu kuteka wanafunzi wa kike 200 mbona hatuoni maandamano?
Kike 200 haramu walivyoteka wanafunzi wa uliona serikali ya Nigeria ilikwenda kupiga na kuuwa watu ovyo? Putin alizuia chakula kisiingie? Acha kutumia mavi kufikili
 
USA has a Soft Underbelly - The Nation not so United....

Alijaribu Obama kuwaunganisha na A Perfect Union - Sadly it remained in theories....

View: https://www.youtube.com/watch?v=zrp-v2tHaDo

Ikiwa haya yangekuwa matukio ya Urusi, Uchina, Iran au nchi yoyote ya Kiarabu, vyombo vya habari vya Magharibi vingewaita waandamanaji mashujaa, na kulaani serikali kwa kukamatwa kwa watu wengi na ukandamizaji wa kikatili, huku wakitaka mabadiliko ya utawala.

Kwa kuwa matukio haya yanatokea katika makao makuu ya himaya hiyo, waandishi wa habari wanaotii katika nchi za NATO hawathubutu kufanya tathmini kwamba Marekani inahitaji mabadiliko ya utawala, licha ya Rais kuwapa silaha na kuwezesha mauaji ya halaiki, huku serikali za shirikisho na serikali za majimbo zikiwakandamiza kikatili wanafunzi wa Amerika. .

View: https://x.com/afshinrattansi/status/1785436578145534064?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Angekuwa ni Prf Lissu dunia ingesimama.
Naona kosa la Prof nibkutaka kuwachukua footage.
 
Ikiwa haya yangekuwa matukio ya Urusi, Uchina, Iran au nchi yoyote ya Kiarabu, vyombo vya habari vya Magharibi vingewaita waandamanaji mashujaa, na kulaani serikali kwa kukamatwa kwa watu wengi na ukandamizaji wa kikatili, huku wakitaka mabadiliko ya utawala.

Kwa kuwa matukio haya yanatokea katika makao makuu ya himaya hiyo, waandishi wa habari wanaotii katika nchi za NATO hawathubutu kufanya tathmini kwamba Marekani inahitaji mabadiliko ya utawala, licha ya Rais kuwapa silaha na kuwezesha mauaji ya halaiki, huku serikali za shirikisho na serikali za majimbo zikiwakandamiza kikatili wanafunzi wa Amerika. .

View: https://x.com/afshinrattansi/status/1785436578145534064?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Kwa mimi ambaye siangalii mambo kwa lens ya wao na wale au huku na kule..., nilishasema na ninasema kila siku USA kutokana na division iliyopo ina a soft underbelly ni rahisi kupata an enemy within katika nchi yenyewe tofauti na sehemu kama Russia na China hata mambo yakiwa mabaya / mabovu kiasi gani watu wote ni rahisi ku-PERSEVERE....

Ndio maana nasema kila siku Tanzania tuna mtaji mkubwa sana ambao duniani wengi hawana (nao ni Utaifa) tatizo tu ni walamba asali na wapuuzi wachache wanaotaka kuondoa hilo kwa kutugawa kwa vijitofauti vyetu (ambavyo waasisi walijaribu kuviondoa) badala ya kuunganika kwa our common goals....

Anyway binafsi am all for Justice haijalishi injustice kaifanya nani lazima nitalaani...
 
Wanaukumbi.

Picha za kushtua zinaonyesha maafisa kadhaa wa Chuo Kikuu cha Washington St.
Profesa wa historia wa SIUE Steve Tamari anaripotiwa kulazwa hospitalini akiwa amevunjika mbavu na kuvunjika mkono.
Daktari mmoja alimwambia kuwa ana bahati ya kuwa hai.

Ikiwa haya yangekuwa matukio ya Urusi, Uchina, Iran au nchi yoyote ya Kiarabu, vyombo vya habari vya Magharibi vingewaita waandamanaji mashujaa, na kulaani serikali kwa kukamatwa kwa watu wengi na ukandamizaji wa kikatili, huku wakitaka mabadiliko ya utawala.

Kwa kuwa matukio haya yanatokea katika makao makuu ya himaya hiyo, waandishi wa habari wanaotii katika nchi za NATO hawathubutu kufanya tathmini kwamba Marekani inahitaji mabadiliko ya utawala, licha ya Rais kuwapa silaha na kuwezesha mauaji ya halaiki, huku serikali za shirikisho na serikali za majimbo zikiwakandamiza kikatili wanafunzi wa Amerika. .

View: https://x.com/prem_thakker/status/1785397144515469402?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Gaza imebaki magofu we endelea kulia lia
 
Good job
 
Back
Top Bottom