Polisi mlichowafanyia hao wanajeshi kwa ushahidi wao mmewakomoa ila mnatia hasira

Polisi wa Tanzania wanafundishwa matumizi ya nguvu na ukatili zaidi badala ya akili na busara
 
Hafu hii kesi chafu inachafua Hadi Rais, hafu hao mapolice kutesa watu ndio zao
 
Kingai ndio mtesaji namba moja.Leo ni Mbowe kesho mtanzania mwingine yoyote anaweza kuingia katika utesaji wa Kingai.Hakuna aliye salama
 
Mahita ni jambazi la siku nyingi, malalamiko juu yake hayajaanza Leo, lakini ninachojua ndani ya hii dunia unachotenda leo lazima kukurudie kesho
 
Hivi kwa mfano askari kama huyo Good luck, kingai, j4 na mahita kwa matendo yao mabaya wanaishi humuhumu mitaani kwetu au ndio wanakaa hukohuko central..
Sidhani ufanye ukatili kama huu then uwe na guys za kujichanganya kitaa..
Mungu awake moto wa subira na kusamehe kwa hao Makomandoo
 
Ni wivu wa polisi kwa mbowe kupewa protection na jwtz siku si nyingi zitapigwa kavu
Lini mwanafunzi wa nursery alimpiga mwalimu wake...? pt ni level ndogo sana, ndo maana kabla ya kwenda kurandaranda huko ccp tunawakaanga sana jkt wakiiva ndipo waende
 
Hao magaidi walipaswa "kupotezwa" kabisa! Washukuru udhaifu uliopo sasa!
 
Bila shaka itakuwa Maita kakuolea dada yako maana sio kwa mahaba hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama SSH kama ananwashauri ......avunje kikosi cha mauaji na kuunda tume huru kijaji kuchunguza kikundi hicho...anzia kwa Hamza hadi kesi ya Mbowe hakuna alie juu ya sheria....wananuka damu za watu..
Hivi kweli unakaa na kuwaza kuwa uyu mama anaweza kufanya chochote cha maana kwenye taifa ili?!! Kweli unawaza hivyo!!!nasikitika sana kuhusu taifa langu! Lakini nakusikitikia hasa wewe ambae unamuamini uyu mwanamke!
 
Kuna mzee mmoja aliwahi kuwa mkuu wa polisi anaitwa mahita,alikuwa katili mlugulu yule haijapata kutokea alikuwa zaidi ya neno katili!! Kama ndio baba yake na uyu kijana polisi!! Basi sishangai ukatili uko kwenye damu yao
 
Kuna mzee mmoja aliwahi kuwa mkuu wa polisi anaitwa mahita,alikuwa katili mlugulu yule haijapata kutokea alikuwa zaidi ya neno katili!! Kama ndio baba yake na uyu kijana polisi!! Basi sishangai ukatili uko kwenye damu yao
Alikuwa Ibilisi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…