Polisi mlichowafanyia hao wanajeshi kwa ushahidi wao mmewakomoa ila mnatia hasira

Mapema mwaka huu kuna mtabiri alitabiri mambo mengi yatayotokea hapa kwetu mengi yametimia hasa la mwendazake,na wanasiasa wengine,kulikuwa na uzi humu akielezea yote hayo yule mtu,aligusia pia machafuko kulikumba Taifa..
 
Alikuwa Ibilisi kabisa.
Zaidi hata ya uyo ibilisi mwenyewe,maana yeye alikuwa katili,fedhuli mix ufisadi,mpaka leo nasikia yupo anakula mema ya nchi,kwa mijitu ya namna hio ni ngumu kukubali CCM kutoka madarakani,ukichanganya na maadui ujinga maradhi na umaskini wa watanzania na ukatili wa jeshi la polisi kiama tu ndio itakuwa ponapona ya raia wa nchi hii
 
Ni mtoto wake huyu,yupo kikosi cha kupambana na ugaidi Arusha.
Basi kama ni hivyo ni sawa kabisa ukoo huu ni katili mno!!sijui hata kama una kula chakula cha kawaida kama sisi itakuwa hata kuku wananyonga ndio wanapika maana kwa ukatili walionao ni zaidi ya Lucifer.
 
Huyu Linjenje Thomasi Ni nani ? Nashindwa kuunga dots
 
Yes ccm inalindwa kqa gharama yoyote na hao wahuni.
 
Kiukweli imewakera wengi kuwatesa hao Askari wetu,kumbe washaenda hadi darful kulinda amani, mwingine ni mwalimu wa ukomandoo, wanaenda kuteswa kijingajinga tu,Kama hii nikweli,namshauri Samia hiyo kesi ingefutwa tu, mbeleni itaenda kuleta chuki KUBWA, nahisi Kuna kitu Mungu anataka kitokee Tanzania
 

Una habari kuwa kinachoendelea sasa hivi sio kesi ya msingi? Ushahidi wa ughaidi hauwezi kutolewa hapa. Unaonekana kuwa clueless!

Hata hivyo, hawa wanajeshi ni criminal defendants, sio independent witnesses. Ushahidi wao haupaswi kulaliwa mlango wazi hata kidogo.
 
Ndugu, hivi circumstantial evidence unaifahamu... tunatakiwa tujue:
1 kama kweli huyo Goodluck yupo
2. Kama lijenje yupo
3. Good luck aje ajitete uhusika wake katika kupandikizia watu bastola na madawa, halafu aulizwe pia kauli zake...
Yakimshinda anaweza bwaga manyanga kama Yule oldinyo Lengai anaye mkabiri pilato
 
Mm nampenda sana mama Samia ila kwa tukio hili simuungi mkono hata kidogo. Mama anaharibu heshima yake na jili jambo linamtia haibu.
Mr Biden alikataa kuonana naye.shame
 
Tupe hiyo sampling na methodology iliyokufanya ufikie conclusion ya 87% .....
 
Tunatawaliwa Idi Amin style
 
JINGA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…