Polisi Moro na mazoezi ya kufa mtu, ni yale Maandamano yetu?

Polisi Moro na mazoezi ya kufa mtu, ni yale Maandamano yetu?

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Polisi Moro wakiwa na vifaa vyao timamu, yakiwamo yale magari pendwa yenye uwezo kamili wa kuzima moto bali yakitumika kama washawasha wamefanya mazoezi ya kufa mtu Moro:

View: https://m.youtube.com/watch?v=kKIzxrOI-V4

Ni wazi kuwa isingalikuwa taabu kuudhibiti moto ule na mapema asubuhi Kariakoo, laiti hata kama yangetumika kama yalivyo na machache yao tu. Wala si mengi.

Kama ilivyokuwa kwa wale wa zoezi la usafi enzi za operation ukuta, hawa wamejumuisha wakiviita pamoja na vyombo vile vingine vyote ..

"Bila shaka ni zile tishia nyau zetu kazini sasa."

Izingatiwe jemedali Mwabukusi amekuwa wazi:

"taratibu zote za kisheria zitafuatwa."

Ya kuwa 7 October kutakuwa na tamko rasmi.

Kasisitiza Mwabukusi watanzania siyo waoga. Ya kuwa mwenye kuwadhania vinginevyo na akaeleke jiwe.

Viva Mwabukusi.

Mlipo tupo!
 
Duuuh! kwa hali hiyo Mwambukusi inaonyesha yuko very serious.... kwakweli jamaa ni consistent sana,harudi nyuma.
Polisi Moro wakiwa na vifaa vyao timamu, yakiwamo yale magari pendwa yenye uwezo kamili wa kuzima moto bali yakitumika kama washawasha wamefanya mazoezi ya kufa mtu Moro...
Picha
 
Ukitoa waalimu hao jamaa ni Namba moja kuwa misukule ya serikali.
Shit heads.
Misukule haswaa na njaa imetawalaa haswaa watatupigaa km ngomaaa watu wakiandamanaa..na vile wanavyojua kuteteana na HAKI za binadamu zimetupwa kule ,kazi ipoo.
 
Misukule haswaa na njaa imetawalaa haswaa watatupigaa km ngomaaa watu wakiandamanaa..na vile wanavyojua kuteteana na HAKI za binadamu zimetupwa kule ,kazi ipoo.
Kuna moja lilikuja kufungua Uzi kusema hayajalipwa kiinua mgongo fala kabisa lile.
Wakati lipo active kazini halikujali raia, limewekwa Benchi linajirudi.
 
Kuna moja lilikuja kufungua Uzi kusema hayajalipwa kiinua mgongo fala kabisa lile.
Wakati lipo active kazini halikujali raia, limewekwa Benchi linajirudi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]njaaa kalii mzeee.
 
Hamna hata kabpicha na sisi matomaso tulio mbali tuamini

Mkuu kulikoni kujitafutia kesi na rire gesi retu ra porisi ... kwamba kwa ajili ya kina Tomaso tu ..? Kwani Wana dini Hawa ndugu?
 
Karibu Kahawa chungu ndugu

kahawa_chungu__th5717053ae39bf.jpg
 
Polisi Moro wakiwa na vifaa vyao timamu, yakiwamo yale magari pendwa yenye uwezo kamili wa kuzima moto bali yakitumika kama washawasha wamefanya mazoezi ya kufa mtu Moro.

Ni wazi kuwa isingalikuwa taabu kuudhibiti moto ule nq mapema asubuhi Kariakoo, laiti hata kama yangetumika kama yalivyo na machache tu.

Kama ilivyokuwa wale wa zoezi la usafi siku ya operation ukuta, hawa wamejumuisha wakiita vyombo vyote ..

"Bila shaka ni zile tishia nyau zetu kazini."

Izingatiwe jemedali Mwabukusi amekuwa wazi:

"taratibu zote za kisheria zitafuatwa."

Ya kuwa 7 October kutakuwa na tamko rasmi.

Kasisitiza Mwabukusi watanzania siyo waoga. Ya kuwa mwenye kuwadhania vinginevyo na akaeleke jiwe.

Viva Mwabukusi.

Mlipo tupo!
Walianza Tokaajuzi Manyara,nyie andamaneni tuu
 
Duuuh! kwa hali hiyo Mwambukusi inaonyesha yuko very serious.... kwakweli jamaa ni consistent sana,harudi nyuma.

Ajabu na kweli kuna mijamaa ya upinzani eti imenuna ..
 
Mwabukusi asije "akafichwa" kabla ya siku ya tangazo/maandamano.
Wanufaika na mfumo watakula naye sahani moja akaze mattyakko yake haswa
 
Back
Top Bottom