Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,321
- 18,574
Wana hoja ya kuajiri division foo.Rejea wiki mbili polisi walipotangaza ajira.
Qualification Ni div foo
kwenye clip ile analalamika kuwa wenzake wameuawa, kumbe inawezekana magaidi wengi sana wamedhibitiwa na polisi, na yeye alikuwa anawafahamu na kilikuwa kinamuuma. sasa mbona na ubonge wake wote ule bado alikimbia bomu la machozi akatoka nje, jinga sana yule, na alivyopigwa risasi alidondoka kama boga. moja kwa moja motoni na angepewa nafasi kurudi angewasaidia sana wenzie wanaoamini kuna mabikira 72 manake huko kakuta tu moto na shetani.
Kumbe umeelewa utaunganishwa na wengineHuo ni mtego ndugu wapo ndani nani atazika!
If something is riddled with bullets or bullet holes, it is full of bullet holes.Riddled ukimaanisha nini mkuu
Hahahaahaha..,,..kumbe ni kawaida. Asiyestahili ajira akiipata huwanyanyasa sana anaowahudumia.Rejea wiki mbili polisi walipotangaza ajira.
Qualification Ni div foo
Wanaogopa mazishi yake yatafurika raia kwa maelfu wenye chuki na polishishiemMazishi ya Hamza lini na wapi?
Kwa hiyo haifanywi kwa weledi wa kidaktari bali utashi wa police?Si inafanywa na Dr chini ya uangalizi wa police kuona kile wanachotaka kujua
If something is riddled with bullets or bullet holes, it is full of bullet holes.
Eg. The bodies of four people were found riddled with bullets.
Wako ndani kwa kosa gani!!!Ndugu zake wako ndani,
Atazika nani?
kwahiyo ninyi watu mnataka watu wote wapate dhamana, hata magaidi kama huyu pia wapate dhamana? imagine unaishi mtaani na jamaa kama lile, mnataka kuirudisha nchi iwe kama somalia?Husiukumu maana hujui mwisho wako , pili police wajitazame waache dhuruma
kama uislam ni kama alichokuwa anafanya hamza, kwakweli samahani sana,...ila kama hamza hakuwakilisha dini ya kiislam hapo sawa. sisi tunamjadili hamza wewe unasema tuache chuki na uislam, kwani dini ilimruhusu kufanya vile, na kama ingekuwa inaruhusu (sijui kama inaruhusu) basi dini hiyo itakuwa mbaya sana.Acheni chuki na uislamu.
kwenye clip ile alisema siro ameua waislam, sasa sijui ndio walikuwa wachimba madini. tuache tusijadili sana hata hivyo.kosa umekimbilia chooni kukojoa ukajikuta unakunya.
kama alisema “ wenzake wameuawa”
kwani yeye sio mtanzania na alikuwa chama gani si ccm.
walikufa bila kujulikana wangapi. !
yeye alikuwa mfanya biashara wa madini.
unakumbuka wafanya biashara wa madini ya maenge kule morogoro !
kuna mda uwezi kupata mtu kukufikishia ujumbe kwa hasira.!
au umemuona kuwa na hasili ya kisomali.
leo wangapi wakijaji serekali na utawala wanaelezwa kuwa sio watanzania !
kuna mda bora kaa vizuri na mke wako kujua baba wa mtoto wako.
Post mortem
kisheria ni lazima, pia wanataka kujua kwa mfano, risasi zilicharanga maini, utumbo mdogo, moyo au utumbo wa ambaruti.Hii si inafanyika ikiwa mtu haijulikani kimemuua nini? Uyu si kapigwa risasi inafaamika.
Labda washapita na figo.Nimemsikia kamanda Sirro anasema mwili wa Hamza washaufanyia kazi ndugu waende wakauchukue wasiopouchukua utazikwa na City
Lakini najiuliza huu mwili polisi wanaufanyia kazi gani, mtu keshakufa kinachofata ni kuzika police wana kazi gani tena nao, wajuvi naomba nijuzeni
figo si zinauzwa? hahaha, ingekuwa china hapo daktari wa postmortem ni dili kinoma.Labda washapita na figo.
China mbali mkuu,hapo Kenya figo ni bidhaa yenye soko zuri sana.figo si zinauzwa? hahaha, ingekuwa china hapo daktari wa postmortem ni dili kinoma.