Polisi: Mzee Philip Mangula amekutwa na sumu mwilini, ni baada ya kufanyiwa uchunguzi

Polisi: Mzee Philip Mangula amekutwa na sumu mwilini, ni baada ya kufanyiwa uchunguzi

Polisi kama kuna MTU wamempania kwa hiyo kauli.....hatari sana ngoja tuone nani atakaye mfunga nyani kitanzi.
 
Ndiyo maana Kigogo alimtaafharisha Membe asile chakula chao dodoma.Ilipobuma wakahamishia vikao dsm
 
Urais sio makalio wewe kwanba kila mtu ana uwezo wa kuyapata

Kwani huyo magufuli aliupateje huo urais U-rais hauna us-pecial kwa kusema huyu anaweza akawa na huyu hawezi kuwa.

Kila kitu kinakuja kwa Mipango ya Mungu...wewe nani mpaka upangie huyu atakuwa rais na mwingine asiwe?

We jamaa ungepewa ugawe ridhki kwa watu ungewanyima na wengine kuwapendelea na ndo maana Mungu pekee ndio mwenye dhamana ya kumpa amtakaye.Kwahyo tuliza mshono.
 
Mmmh wote waliokuwa kwenye ule mkutano inapaswa kuwa washukiwa wa kwanza lzm kuna mmoja alihusika
Hakuna lolote wale watuhumiwa amefanya nao kazi muda mrefu sana kwa wema bila ugomvi wamehangaika Sana kukinusuru chama, kile anachowanyia sasa hata yeye hakukitegemea kama binadam aliyetimia lazima apate mstuko tu. Mimi ninaamini huo ni mstuko tu kila akifikiria atawaangaliaje? Anapata kizunguzungu anaanguka anazimia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzuri mmoja aliyekuwa anahojiwa alikuwa ni mgeni kwa siku hiyo na kila kitu kiliandaliwa bila yeye kuwepo. Hivyo wakamatwe waliokuwa kwenye kikao siku hiyo na wahudumu wote. AU usikute walikosea step badala wa kumwekea mkusudiwa. Siasa naiogopa kama ukoma.
 
Back
Top Bottom