Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Mmh! HatariWanaCCM hawaachiani maji ya kunywa mezani - Kikwete
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh! HatariWanaCCM hawaachiani maji ya kunywa mezani - Kikwete
Mshana Jr, je? itakuaje kama mzee Mangula aligusa sumu nyumbani wakati akitaka kuwaua panya wanaomsubua stoo home kwake, kisha akajisahau kunawa vizuri. Atakamtwa yeye au muuza sumu ya panya atasakwa popote alipo?Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam litachukua hatua kali kwa mtu yeyote atakaye bainika kupanga ,kuratibu na kutekeleza uhalifu huo awe ni mwana familia ,kutoka ndani ya chama ,nje ya chama ,ndani ya nchi au nje ya nchi au awe serikalini au chama chochote cha siasa
Jr[emoji769]
Kutokuwa updated na habari za Dunia sio kosa la Pohamba wala la Mashia ni kosa lako binafsiNyinyi Mashia hamuishi propaganda dhidi ya Waislamu wa Saudia
Muhammad Salmani apange kumuua Baba yake "Mfalme" habari ivuje ikufikie wewe mbantu wa madongo poromoka asijue Mfalme mwenyewe na wasaidizi wake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haahaa Kwanza si afe tu nashangaa kapewa sumu kama ya mendeCCM bhana,kuuana kwao ni jambo la kawaida tu!
Tungekunywa bia leo mpka basiHiyo heading, nilidhani Mzee alishakufa!
Itakuwa ya Inzi hiyoSumu ya mende au panya??
Hahahaha, bora ulivyompa makavu, yaani wanachama wa CCM sijui wapoje anapotajwa Membe utawaona hao wanakuja juu ukushambulia, sipati picha Membe akija kuukwaa urais hawa vijana wataweka wapi sura zao