Polisi: Mzee Philip Mangula amekutwa na sumu mwilini, ni baada ya kufanyiwa uchunguzi

Polisi: Mzee Philip Mangula amekutwa na sumu mwilini, ni baada ya kufanyiwa uchunguzi

Jeshi siku hizi linabaini sumu ndani mwili wa mnyama, makubwa haya,

Hamtutoi kwenye ajenda ya kudai time huru
Kwani ni mara ngapi polisi wanatoa taarifa za uchunguzi uliofanywa na madaktari? Hata mtu akifa katika mazingira ya kutatanisha anayetoa taarifa ni polisi ila postmortem inafanywa na daktari.
 
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam litachukua hatua kali kwa mtu yeyote atakaye bainika kupanga ,kuratibu na kutekeleza uhalifu huo awe ni mwana familia ,kutoka ndani ya chama ,nje ya chama ,ndani ya nchi au nje ya nchi au awe serikalini au chama chochote cha siasa.

Jr[emoji769]
 
Kwani ni mara ngapi polisi wanatoa taarifa za uchunguzi uliofanywa na madaktari? Hata mtu akifa katika mazingira ya kutatanisha anayetoa taarifa ni polisi ila postmortem inafanywa na daktari.
Dogo polisi wanaleta blabla tu. Kuna mahakama ambako kuthibitisha wataiwa madaktari, siyo polisi
 
admiral aladeen wa WADIYA REPUBLIC

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Na itapendeza limpasukie
Nimeona kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari vikiripoti kuwa Mangula amekutwa na sumu kwenye damu yake.

Huu ni mtego mkubwa kwa yule anayejiita ni kachero nguli na anawatu ndani ya chama zake cha zamani.

Yai linaweza likampasukia mikononi
 
Kawaida, ukileta kubwa unapewa kubwa kuliko
Kuna mtu anatafutwa hapo!

Je ni yule aliyesema ana watu wake kwenye system?

Utabiri: Kuna mhuni atadakwa,atakiri kosa na kumtaja aliyemtuma then mtu anasoteshwa!

Kwisha Habari!
 
Wanatafuta sababu za kumtuhumu Membe ili waanze kula nae sahani moja mahakamani kila.kukicha ashindee kufanya harakati zake.
 
Back
Top Bottom