Polisi: Mzee Philip Mangula amekutwa na sumu mwilini, ni baada ya kufanyiwa uchunguzi

Polisi: Mzee Philip Mangula amekutwa na sumu mwilini, ni baada ya kufanyiwa uchunguzi

johnthebaptist,
Lakini pia wapo wanaccm mfano RC Gambo aliwai kusema wanaccm tufanye fujo pale ambapo mbunge SIO wa ccm
 
Kwa CCM Mangula kupatikana na sumu mwilini mwake siyo jambo la ajabu, jambo la ajabu ni kuwa salama.
Hakuna ajabu hapo kama Sergei Skripal na bintie Yulia wapo salama baada ya miili yao kushambuliwa na sumu hatari sana ya Novichok nerve agent kule Salisbury, England.

Ukiwahishwa tiba sahihi kwa wakati sahihi unapona, japo nashauri Mzee Mangula apatiwe rufaa ya matibabu zaidi nje ya nchi.
Kilichosaidia mzee alidondoka pale Lumumba ni karibu sana na Muhimbili.
 
Tunatakiwa kuanzia hapa kwa kudeal na vitu hivi vichache
Kwanza Akina Nani walikuwa kwenye kiakao.upelekezi uanze na hao.

Pili Sumu mwilini imeingia kwa mfumo upi consumption poison au katika mfumo upi

Ila polisi naombeni fanyeni upelelezi was Jambo hili kwa weledi mkubwa kabisa mrudishe matumaini kwa wananchi. Hiyo Ni fedheha kubwa Sana kwa Taifa let acheni na propaganda za maneno rahis wasiojulikana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kila kitu polisi waseme. Hilo suala la kidaktari ilishindikana nini daktari akaongelea hilo tena huwenda angekuja na maelezo ya kitaalamu zaidi.

"Polisi wameelezea namna mkazi wa Buza alivyoshinda Jackpot"
Daktari hawezi zungumzia suala lililopo mikononi mwa polisi. Si kila kitu daktari anatakiwa kukizungumza.
 
Duh hii ni vita aiseee.. Kama Makamu Mwenyekiti CCM-Bara anafanyiwa hivi, ina maana kuna mtandao mkali unaweza dhuru viongozi aisee. Viongozi wetu waongezewe ulinzi maradufu ardhini hadi angani. Mmhhh. Mungu amponye Mzee Mangula, so sad.
 
Back
Top Bottom