Polisi: Mzee Philip Mangula amekutwa na sumu mwilini, ni baada ya kufanyiwa uchunguzi

Polisi: Mzee Philip Mangula amekutwa na sumu mwilini, ni baada ya kufanyiwa uchunguzi

Tunaomba jeshi la polisi lichukue hatua Kali Sana kwa waliofanya ukatili huu
 
Yale mabunduki na mahelcopter wanayojizungushia kumbe hayatoshi kuwalinda?

Anyway, huu ni Ujinga wa Mambosasa kukubali kuendelea kutumika na Wajinga wa Awamu ya 5;

Mangula mwili wake unaweza kuwa na sumu kutokana na umri wake...mauchafu na haramu ngapi amekula hadi aepuke sumu?
 
CCM ni chama tawala na Chadema ni chama kikuu cha upinzani, vyama vyote hivi viwili ni muhimu sana kwa mustakabali wa maendeleo na amani yetu.

Tundu Lisu alishambuliwa na watu wasiojulikana na hadi leo anaishi uhamishoni kwa kuhofia kurejea nyumbani.

Leo tena tunaambiwa mzee wetu Mangulla ameonekana kuwa na sumu mwilini mwake baada ya kuanguka ghafla.

Haya siyo mambo ya kuyadharau yatupasa tumwombe sana mwenyezi Mungu atuepushe na haya mabalaa, inasikitisha kwa kweli.

Nawatakia kwaresma yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
 
Mmmh wote waliokuwa kwenye ule mkutano inapaswa kuwa washukiwa wa kwanza lzm kuna mmoja alihusika
Kushoto kwake akaa mwenyekiti mwenyewe na kulia alikaa Polepole. Mambosasa aanze na hao wawili maana hata JK alitahadharisha vikao vya ccm ukienda msalani beba maji yako ya kunywa.
Mzee naona alijisahau. Hata hivyo Mamboleo akishindwa waitwe Scotland yard

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muhimu kujua aina ya sumu na inachukua muda gani kuwa effective,then watatueleza alikoipata na wahusika aliokuwa nao muda huo. Mazingira yanataka kulazimisha adui mkubwa wa wazi na aliyedhurika na maamuzi ya kikao ila wasisahau jamaa ana akili na utulivu wa kutokukurupuka na amelelewa na mfumo ambao una watu wake,atawaumbua mchana kweupe.
 
Michelle upo? mbona huonekani siku hizi? au una ID nyingine??😉
 
Mamaaa!!! Membe anawindwa kwa mauwongo tanpol hayo maelekezo mustang.amua. Fugifuli fuul
 
Anzisha topic yako..usiniquote kama ni rais wa yanga..mxiewww

Hahahaha, bora ulivyompa makavu, yaani wanachama wa CCM sijui wapoje anapotajwa Membe utawaona hao wanakuja juu ukushambulia, sipati picha Membe akija kuukwaa urais hawa vijana wataweka wapi sura zao
 
Back
Top Bottom