Polisi: Mzee Philip Mangula amekutwa na sumu mwilini, ni baada ya kufanyiwa uchunguzi

Polisi: Mzee Philip Mangula amekutwa na sumu mwilini, ni baada ya kufanyiwa uchunguzi

Ni punguani pekee atayeamini kua Membe ni mhusika, sana sana wanaweza kuwa wahusila ni mmojawapo ktk kile kikao kilichotoa adhabu, huyu jiwe asidhani anaungwa mkono na hao alowateua ktk kamati kuu.

Hakuna mtu timamu awezae muunga mkono mtu ambaye ni kichaa, watu watagonga meza kwa kupiga makofi ya kinafiki tu, mkitaka kujua nani ampendae just wait 2026 Pohamba,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mzee Mangula. Lakini ni ngumu sana kuamini hizi tuhuma kutokana na mtoaji wake.

Kwanza mzee uliugua wiki kadhaa sasa zimepita. Ishu ya sumu hatujaisikia kutoka kwa wanaokutibu tangu umelazwa. Ajabu jeshi la polisi linakuja na taarifa ya kushtukiza inayoonekana wazi kuwa imelenga jambo fulani ndani ya chama.

Polisi na CCM mna nini na nchi hii? Kwanini nyie? Kwanini mmeamua kuidhalilisha nchi kiasi hiki? Hii nchi itaendelea kuwa mfano wa danguro mpaka lini? Hamuoni umuhimu wa kujenga nchi yenye ustaarabu kama nchi nyingine?
 
Kwa maelezo ya nyakati mbalimbali:

1) Kikwete - wanaCCM hawachiani hata glass za maji

2) Magufuli - niliwahi kuwekewa sumu

3) Mwakyembe - niliwekewa sumu

4) Mambosasa - Manhula aliwekewa sumu

Inaonekana, ndani ya CCM, jitihada za kuuana kwaajili ya madaraka ni jambo la kawaida. Kama wenyewe kwa wenyewe wanauana, wataona shida kumwua asiye mwanaCCM? Watanzania, tuwe makini, hawa, wengi wao, siyo walinzi wa uhai wetu, bali ni watafutaji wa uhai wetu.

Rais ana ulinzi mkubwa sana. LAKINI ajue kuwa kama wapo wanaoutafuta uhai wake, siyo akina Lema, siyo akina Mbowe, siyo akina Lisu, bali ni wanaCCM wenzake, wanaomzunguka kila siku.
 
Back
Top Bottom