Polisi: Mzee Philip Mangula amekutwa na sumu mwilini, ni baada ya kufanyiwa uchunguzi

Polisi: Mzee Philip Mangula amekutwa na sumu mwilini, ni baada ya kufanyiwa uchunguzi

Saudia huko tayari Mohamed bin Salmaan anakamilisha mpango wa kumpindua Baba yake baada ya kuchelewa kufa

Baba wadogo na Kaka zake kishawasweka ndani kupunguza upinzani

Anakamilisha mipango kabla ya Uchaguzi wa Marekan kwa kuwa Trump akiondoka mpango wake utakwama

Madaraka mabaya sana
Bado October, vita ya madaraka CCM haijawahi kumuacha mtu salama

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Subpost 1 - MAMBOSASA_ MANGULA ALIWEKEWA SUMU.  Wahenga wenzangu mwakumbuka kifo ( 362 X 640 ).jpg
 
Nimeona kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari vikiripoti kuwa Mangula amekutwa na sumu kwenye damu yake.

Huu ni mtego mkubwa kwa yule anayejiita ni kachero nguli na anawatu ndani ya chama zake cha zamani.

Yai linaweza likampasukia mikononi
 
WanaCCM hawaachiani maji ya kunywa mezani - Kikwete

Jakaya alishasema kuwa chama cha mapinduzi kimefika pabaya na kwamba kule kuaminiana kwa zamani hakuna tena!! Kwenye mikutano kila mmoja anakuja na chupa yake ya maji kwenye koti na hakuna anayekunywa chai kikaoni kwa kuogopa kutiliwa sumu!!! Sasa mambo ndio hayo tunaambiwa Mangulla amekutwa na sumu mwilini ; nani kamuwekea sumu?

Mtu aliyemuwekea sumu Mangulla ni lazima atakuwa kutoka CCM; hakuna mtu wa kutoka upinzani anayepika chai au kugawa maji ya kunywa kwenye mikutano ya ccm. Hivyo uchunguzi uanzie siku ile ya kikao cha kuwajadili wakina Membe nani alipika chai au kugawa maji kikaoni? Mangulla alikula nini na wapi siku hiyo? CCm wenyewe watakamatana!!
 
Jamani ee, issue akishapewa Mambosasa hiyo issue ni magumashi haina ukweli wowote. Mambosasa amekuwa ndo jalala la kuongea uongo, uzushi na kila aina ya uchafu. Mnakumbuka alisema chadema ndo wamemuua Akwilina wakati polisi ndo wameua.
 
Je, kalishwa (kagundulika) na Sumu ili iweje?

A. Ameonekana ni Mtetezi Mkuu wa wale Wanaoonewa, Kubaguliwa na Kudharauliwa pasipo sababu za Msingi?
B. Alikuwa akipingana na Maamuzi yenye Viashiria vya Chuki na Kukataa tabia ya Ukabila katika Kupeana Vyeo?
C. Hakubaliani na Upuuzi kama siyo Upumbavu Uliokubuhu unaoendelea hivyo ni kama anamdharau Mwamba?
D. Anatoa sana Siri za Vikao Nyeti kwa Maadui Hatari wa ndani na wenye Ushawishi mkubwa ndani ya Usalama na Jeshi?

Nawatakieni Mtihani mwema nyote.
 
Back
Top Bottom