Ninafikiria kwa nini Polisi watoe tamko hili na tena kwa kuhitimisha na vitisho? Kulikoni...tumekuwa na matukio mengi yanayodaiwa watu kuwekewa sumu hatujaona reaction ya namna hii ya polisi! Lakini sasa tunaaminishwa kuwa hapo ofisi ndogo ya CCM kuna ufisadi mkubwa wa kutaka kuondoa roho za viongozi!