Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
VUTA-NKUVUTE,
Senema tu hizo. Maana Mzee Mangula alikua anashiriki vikao vya Kamati kuu na mabosi wake.
Kumpoteza mtu. Musiba anaoijua hiyo"....litachukua hatua kali kwa mtu yeyote atakaye bainika kupanga,......." napata shida kuelewa hii "statement" kwani zaidi ya kukamata, kuchunguza na kumpeleka mtuhumiwa mahakamani hatua kali zinazongunzwaga na Jeshi letu ni zipi kwa mujibu wa Katiba?
Acha wafu wazikane wenyewe
Zingatia "kiongozi"Watu wangapi wanafanyiwa umafia na hamtangazi,mnafanya uchunguzi kimyakimya na taarifa tunazipataga redio mbao tu,ila hii ya Mangula mnaitangaza kabisa kwamba kapewa sumu😂😂,chezo hili anaandaliwa mtu nahisi!lirolimodo awe makini na michezo hii!
Kwani mwambowe alipataje cheo chake?Hivi Mambosasa alipataje hiki cheo?
Kwanini itangazwe prematurely before uchunguzi haujakamilika?Sio kila kitu polisi waseme. Hilo suala la kidaktari ilishindikana nini daktari akaongelea hilo tena huwenda angekuja na maelezo ya kitaalamu zaidi.
"Polisi wameelezea namna mkazi wa Buza alivyoshinda Jackpot"
Mbobezi alikataamaji ya kunywa kikaoni akanywa aliyopewa na mkewe
Maswala ya ccm yanashughulikia kwa. Wakati lkn la kupigwa lissu lisasi bado linachunguzwa dahMambo ya ki polisi tuwaachie polisi jamani,haipashwi kulihusisha moja kwa moja swala km ili na siasa.
Polisi watafanya uchunuzi harafu watakuja na majibu kamili.
Ss kama mshitaki hatoi ushirikiano unatarajia nn hapo??ww km umepeleka Kesi polisi lazima ufanye ufuatiliaji.Maswala ya ccm yanashughulikia kwa. Wakati lkn la kupigwa lissu lisasi bado linachunguzwa dah
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata pa kukaa ukifika omba kubadili kiti au ingia na kiti chako au kaa chini kabisa. Ni hatari mno.Nilichojifunza kwenye siasa za nchi hii, ukienda kwenye mkutano wowote wa kichama usithubutu kunywa maji au chakula kilichoandaliwa mezani, viache kama vilivyo.