Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
VUTA-NKUVUTE,
Senema tu hizo. Maana Mzee Mangula alikua anashiriki vikao vya Kamati kuu na mabosi wake.
Siamini hata kidogo juu ya taarifa hii kuwa ni ukweli, bali ni maandalizi ya mpango maalum huko mbeleni.
Kwa kawaida hawa huwa hawatoi taarifa kwa haraka namna hii katika jambo kama hili, hata Mh JPM ilimchukua miaka kadhaa mpaka kuja mwenyewe kueleza kuwa aliwekewa sumu alipokuwa waziri. Iweje leo waje na taarifa haraka haraka namna hii !!!!!!!!!!!!
Picha la kihindi linaendelea...............................................Kafara itafuata