Polisi: Mzee Philip Mangula amekutwa na sumu mwilini, ni baada ya kufanyiwa uchunguzi

Polisi: Mzee Philip Mangula amekutwa na sumu mwilini, ni baada ya kufanyiwa uchunguzi

VUTA-NKUVUTE,
Senema tu hizo. Maana Mzee Mangula alikua anashiriki vikao vya Kamati kuu na mabosi wake.

Siamini hata kidogo juu ya taarifa hii kuwa ni ukweli, bali ni maandalizi ya mpango maalum huko mbeleni.

Kwa kawaida hawa huwa hawatoi taarifa kwa haraka namna hii katika jambo kama hili, hata Mh JPM ilimchukua miaka kadhaa mpaka kuja mwenyewe kueleza kuwa aliwekewa sumu alipokuwa waziri. Iweje leo waje na taarifa haraka haraka namna hii !!!!!!!!!!!!

Picha la kihindi linaendelea...............................................Kafara itafuata
 
"....litachukua hatua kali kwa mtu yeyote atakaye bainika kupanga,......." napata shida kuelewa hii "statement" kwani zaidi ya kukamata, kuchunguza na kumpeleka mtuhumiwa mahakamani hatua kali zinazongunzwaga na Jeshi letu ni zipi kwa mujibu wa Katiba?
Kumpoteza mtu. Musiba anaoijua hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Mzee Mangula apelekwe sehemu salama Hspt nje ya nchi.
Maama kama alidhulika kwenye kikao ktk ya wajumbe watashindwaje hapo alipo?Mponyeni Mzee wa watu hasa familia yake iwe chonjo!!
 
Watu wangapi wanafanyiwa umafia na hamtangazi,mnafanya uchunguzi kimyakimya na taarifa tunazipataga redio mbao tu,ila hii ya Mangula mnaitangaza kabisa kwamba kapewa sumu😂😂,chezo hili anaandaliwa mtu nahisi!lirolimodo awe makini na michezo hii!
Zingatia "kiongozi"
 
Hivi wanaoandika hizi scripts na storyline za polisi wanafikiri sote ni mbumbumbu...
Mtu awekewe sumu.... Isiyokuwa na jina...
Adondoke...
Apelekwe hospitali kimya kimya...
Umma ujulishe baada ya kutembelewa na Kayafa namba moja...!
Alafu baada ya siku kadhaa; leo wasakwe wanaohusika...!!

Hiyo sumu inaitwaje?
Iliingia mwilini kwa njia gani??
Ina madhara gani?? Ya muda mfupi au mrefu??
Wajumbe walishahojiwa ikashindikana hadi sasa waje hadharani kuwasaka watu wengine??

NB:
Nyepesi nyepesi zinaonesha Makamu alikuwa hafuraishwi na hatua zilizo "lazimishwa" na meza kuu dhidi ya BCM..
 
MaCCM kwa sumu ndo wenyewe.
Kolimba, Mwakiembe alikoswakoswa na wengine wengi wapowapo tu wamenyamaza!!
Hawana shukulani hatauwafanyie nini, muulize Nape na Makamba!!
 
Jumba bovu hili kuna mtu ataangushiwa muda si mrefu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mambo ya ki polisi tuwaachie polisi jamani,haipashwi kulihusisha moja kwa moja swala km ili na siasa.

Polisi watafanya uchunuzi harafu watakuja na majibu kamili.
 
Sio kila kitu polisi waseme. Hilo suala la kidaktari ilishindikana nini daktari akaongelea hilo tena huwenda angekuja na maelezo ya kitaalamu zaidi.

"Polisi wameelezea namna mkazi wa Buza alivyoshinda Jackpot"
Kwanini itangazwe prematurely before uchunguzi haujakamilika?
They want to call the dog a bad name, then....
 
Mzalendo2015,
Daah uko well informed. Hongera Mkuu. Yaani mzee yule ilivyo mungwana na mwadilifu wanataka kummaliza? CCM yangu kuna nini huko jikoni? Ni mashaka
 
stella1975,
Uko vizuri sana. BM asingeweza kuingia nayo. Wajipekue hao hao kikaoni. Tuanzie hapo. Nahisi mwili kufa ganzi. Huyu mzee wetu asife maana huwa ni humble sana. Down to earth.
 
Nilichojifunza kwenye siasa za nchi hii, ukienda kwenye mkutano wowote wa kichama usithubutu kunywa maji au chakula kilichoandaliwa mezani, viache kama vilivyo.
Hata pa kukaa ukifika omba kubadili kiti au ingia na kiti chako au kaa chini kabisa. Ni hatari mno.
 
Back
Top Bottom