Polisi: Mzee Philip Mangula amekutwa na sumu mwilini, ni baada ya kufanyiwa uchunguzi

Isije ikawa imetengenezwa kuwaweka ndani au kuwapekuwa majumbani watu fulan wakubwa ndani ya Chama

Siasa za mataifa yanayojiita ya Kijamaanni siasa hatare sana

Ntakuja kuwapa kisa kilipoanzia hadi kuwatoa Wizaran kina Emanuel Nchimbi na Shamsi Vuai pamoja na Hamis Kagasheki kwny Operation Tokomeza ambao wote walikuwa team Mamvi

Mangula kalazwa siku kadhaa lakin taarifa ya kuwekewa sumu imetolewa masaa machache baada ya Mzee wa Mtama kurudi Nchini
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tupe hicho kisa haraka kadri inavyowezekana
 
Kuna tatizo hapo. Hayo yalitakiwa kusemwa na mahakama/hakimu. Maneno ya namna hiyo kwa nchi nyingine ni issue lkn kwetu ni kawaida maana tumeyazoea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…