Polisi na Magereza watunishiana Msuli Iringa

Inawezekana watanzania hatujui tu ila inavyoonekana kimatendo ni kama vile polisi wamekabidhiwa nchi.
 
Polisi wenye AKILI anzeni haraka sana kuhamia wizara nyingine,mtanishukuru siku moja,nasema hivyo kwa sababu hakuna mtu mwenye Akili TIMAMU alielihitaji jeshi la polisi hapa Tanzania kwa sasa,kama ww ni polisi king'ang'anizi baki humo,kumbuka baba wa Taifa aliwahi futa jeshi kumbe ni kazi rahisi sana.Narudia tena hakuna mtu mwenye AKILI anayelihitaji jeshi la Polisi hadi sasa.Kazi kwenu mmekuwa kero kwa kila kiumbe cha nchi hii shauri yenu,ipo siku mtalia na kusaga meno na hamtapata msaada.
 
Alooo nchi imefikia patamu mpaka raha
 
Si wangewapiga faini tu ili wachangie mapato ya serikali.

Lakini safi sana maana ufalme unaojifitini hausimami
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…